The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

Hayo uliyochukua ndiyo maamuzi ya kuume sasa. Siyo unageuzwa fala kwa kulea mtoto ambaye ni wa kusingiziwa huku ukionekana ni fala.
Pia siyo unajidhuru au unamdhuru mtu sababu ya ufwala wake. Piga chini kama ulivyofanya then maisha mengine yaendelee.

Huyo msichana ni mpumbavu na mwendawazimu, kwanini aendelee kukufuata hadi ofisini wakati ni mama watoto wa mtu. Asikuletee upuuzi ikibidi hakikisha unam report ili kuondokana na yanayoweza kutokea huko mbele ya safari
 
Doh, pole Sana ndugu yangu
Uongo uongo kwenye mahusiano sio mzuri naamini angekueleza mwanzo ungekubali Ila ndo hivyo life expirience

Asante kwa ku share
Tumejifunza
 
una moyo hadi gari yani mimi ninge muachia vya kupikia na godoro tu.
 
Pole sana
Wengi wanasema vitu ungechukua lakini mimi nadhani umemwachia as uliamua kusamehe yote kwa moyo mmoja ili nafsi yako iwe huru na kwa kufanya hivyo majeraha yako yatapona haraka zaidi kuliko aliekutenda!
Revenge haisaidii kupona bali huongeza bitterness ndani ya moyo ambayo huwa ni sumu kali inayoua!
 
Write your reply...mpaka gari umemwachia asee hongera bhana kwa ujinga kilo70..hapo ungetakiwa usilipe hata kodi uache mzee wake ndo amlipie pia gar ungeuza ukanunue kiwanja uanze life lingine
 
Mi nilivyo mchungu kweli angeondoka na begi tu, tena nguo zake nzuri nzuri angeacha niziuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…