The Top 10 Most Intelligent People in the World


Duh!!! Kambarage matatizo sana.
 
Heeee Mbona mi sipo??? Na wala sikumbuki kama hao waliofanya huo utafit walikuja kuchukua details zangu?? Labda hii list ni ya huko kwao tu sio ya dunia nzima,ingekuwa ni ya dunia nzima NA MIMI NINGEKUWEPO TU!!!
 
dont be so mean with your race its just a list of 10 people


Not a matter of saying a list of 10 people....
They've meant top 10 of most intelligent people on earth,why not blacks,why not Africans...
Long list of Americans..

Huu ni ubabaishaji tuuu...
 
Walau sasa hivi umeandika vyema kuliko ulivyofanya pale awali...

 
FaizaFoxy 192 IQ

Hiyo list imechakachuliwa, kama kawaida ya Wabongo.
 
Mbona cjaona ngozi nyeusi?GREAT THINKERS WA HUMU NDANI MBONA CJAONA HATA MMOJA??
 

Kula 5 Mkuu! IQ kitu gani? Kisa Mzungu kasema? Tuvijali na kithamini vya kwetu bhana! Hao wooote waliotajwa ni hovyo tu! Humu nchini wamejaa saaaaana tena sana waliowazidi hao wazungu!

Hizo ni ngonjera na promo zao, nasi tuna zetu!
 
Nakubali kwamba kuna watu wana uwezo kwenye mambo mbalimbali ilasi pendi neno "MOST...IN THE WORLD" afadhali watumie waliobahatika kujulikana/kupata nafasi ya kufanya hizo test au mashindano na kupata viwango vya juu.
 

Kweli mdau maana IQ nadhani ni zaidi ya hapo maana kuna mtu anaweza kuwa shuleless lakini reasoning capacity yake ni kubwa mno kiasi kwamba kama angepata fursa angekuwa yupo juu sana
 
Kula 5 Mkuu! IQ kitu gani? Kisa Mzungu kasema? Tuvijali na kithamini vya kwetu bhana! Hao wooote waliotajwa ni hovyo tu! Humu nchini wamejaa saaaaana tena sana waliowazidi hao wazungu!

Hizo ni ngonjera na promo zao, nasi tuna zetu!

acha kupalilia ujinga ndg,mfano huyo mkorea kaandika pepa 96 khs hydraulics,we mswahili ukiambiwa uandike hata pepa1 ya kwann ni maskini jicho linakutoka!
 
Duuhh katika wote hao me naona Terrence Tao ni nyo.ko aisee khaaa hizo fields za mathematics alizo specialize ni balaa sana..who does that??...the guy is bad news kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…