The top five best couple in JF(MMU)

Mkimalizana Na Best Couples Mje Na Worst Couples. Nataka Kujua Kama Ujasiri Wa Baadhi Ya Walioamua Kujitaja Wenyewe Katika Kundi La Kwanza, Upo Pia Katika Kundi La Pili?
 
Ule ukuta uliovunjika kabla haujajengwa...

Teh teh... Labda kama unataka "kushika pembe ili Eli79 akamue bila bughudha...

By the way, karibu kwenye competition... Mwenye kisu kikali....
Mtani darling, hawa jamaa nisipkuwa makini watakubeba. Mbona wanakupenda hivi, ntakosa usingizi aiseee!!
 
Every failure of man there's woman behind. Na kinyume chake ni sahihi. inabidi wanawake mkae muongee na
jje's
haaaa thanks Daby, unaona naweza toa mchango eeeeh, gud gud, bring them to me.

I will talk to them kwa kweli.
 
Kalumanzila haya maneno nani kakuandikia? Au kwenye mtaala wa yale mambo nayo yapo?
 
Iyo namba 5 na jje ndo sijamjua mkuu hahaha huyu binamu yangu ningependa kumjua couple yake maana ana ngebe na wadada balaa
hahahahahahah wewe unataka kumjua bby wa binamu yako ili iweje?

sisi hatuko kwenye ile binamu nyama ya hamu bhana acha hizo.
 
hahahahahahah wewe unataka kumjua bby wa binamu yako ili iweje?

sisi hatuko kwenye ile binamu nyama ya hamu bhana acha hizo.
Nakulaga so nataka nijue nikwepe mishale mama
 
<br />Hahaha baby.... Jiamini, moyoni mwangu upo pekeako... Upendo unaonipa unanitosha, sihitaji mwingine ever....

huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122][/QUOTE]
haaaahhahahahah mnatufatilia kwa karibu eeeh, nimeona mnavyotuchabo
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
haaaahhahahahah mnatufatilia kwa karibu eeeh, nimeona mnavyotuchabo[/QUOTE]
Tunakujaga kuangalia palipopungua tupajaze [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…