Amefanya jambo jema ila mwambieni mwanaume yule aache kuwasakama wadada jamani Kha? Mpaka tunapotea njia kwa misakamo[/QUOTE]Binamu yako alishaopoa kitambo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)
(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.
Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. Nyani Ngabu na Kasinde
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Kaboom na atoto(Rogie anaiwangia)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)
NB: hii ni chitchat
Hahahah jerrysonkiria Unaongea kwa unyonge mshkaji wanguHayaaaa wenye kapo zaooo muwe na amaniii
Tuliza munkari kijana, Mambo mazuri....Idea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
Usijali jery.Idea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
Hatukubali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali jery.
Binamu hujamtaja hapo [emoji23] [emoji23] weka binamu wa ngapi hapo maana michezo yoote umemkuta anajua mie ndo nimemfunza, chezea kazi ya binamu weweyaani hapo wamegonga mwamba kbsa hawatuwezi.
tulikaa tukajifunza ile fomula ya kuwa pamoja.
acha nifunguke hapa.
unajua kabla ya kuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, wazazi wa pili, ndugu, jamaa na rafiki wa tatu.
ila ukishakuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, mpenzi/mume/mke wa pili, watoto wa tatu, na nne ni ndugu, jamaa na marafiki.
so sisi tumekubaliana hilo. uko hapo mkuu.
LadyAj atajisumbua tu nimeshamwambia atuache.
Vigoda vichache ukiinuka acha na sie tukalie gogo tamu, au hukusoma ile hadith ya sungura na fisina waniache tu mimi
Ukiona hivyo jua una bahati ya paka kupendwa na wachawiIdea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
Usikatae hapa vifuku fuku ulikuaga unamfukua nani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu mengine unanisingizia, kweli vile
Kila akinyongonyea ubongo na uko chini ajue kuna nyong'onyea mtafutie wa kumnusuru huyu kijanaHahahah jerrysonkiria Unaongea kwa unyonge mshkaji wangu
Amelala, subiri baadae akiamka ntamletaHahahhaaa umekuja? Afadhari muite couple yako tujuzane
Mbona mi skumbuki??? Labda unanifananisha binamuUsikatae hapa vifuku fuku ulikuaga unamfukua nani [emoji23] [emoji23] [emoji23]