Hatucheki ila swali ni kwanini wajivunie vitu wasivyo navyo?
God save us
Zitadumu,ndege zipo abiria wapo ni wao waliopewa kazi kua wabunifu na kuboresha huduma kadri watakavyowezaWezi tu.
Tusichekelee sana, sisi tuna ndege jee uwezo wa kuliendesha shirika la ndege likaleta faida tunao? Maana tukumbuke Air Tanzania ilishakufa kabisa na jitihada za Magufuli tu ndiyo zinalifufua shirika hilo. Litadumu?
Itakuwa ni hatua nzuri na kubwa sana maana mashirika ya umma yalishindwa kujiendesha toka enzi za Nyerere.Zitadumu,ndege zipo abiria wapo ni wao waliopewa kazi kua wabunifu na kuboresha huduma kadri watakavyoweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitanguliza maslahi binafsi mbele,kama unafuatilia kwa sasa ukizingua unatoka,ukihujumu jela nidhamu imeongezeka,kwa sasa walau kuna hofu maana serikal iko macho muda wote ,utaratibu huu ukiendelea tunaweza sana Ila walilzegeza mijizi haiishi watafilisiItakuwa ni hatua nzuri na kubwa sana maana mashirika ya umma yalishindwa kujiendesha toka enzi za Nyerere.
Wameshindwa hadi kujitetea wamebaki kujaribu kuhamisha uzi; mara korosho mara Barrick😀😀😀😀😀 unajua dunia ya sasa huwezi ficha kitu chako cha siri Kenya siriiiii imefichuuukaaaaa we jamaa umeibua jambo zuri sanaa sasa ndio wakineng'eng'eka tu tunanawatumia hii link
hahahaha sasa sisi barrick si wamesema mwezi wa 3 wanaleta dividend yetu hapa dsm sas je wao kati izo ndege 24 na ngapi sijui 30 something wakitoa izo zao 3 tena usikute izo 3 ni zile emberor na ile Q 800 hahahaha the rest dreamliner ni mali ya KLM na hata Tvs zao wamefyata mkia hata hawazungumzii hii habari ...... ngoja niwafuate ktk forum yaoWameshindwa hadi kujitetea wamebaki kujaribu kuhamisha uzi; mara korosho mara Barrick
God save us
Yes i wrote rubish instead of rubbish; we call that a miss out; hukujua hilo. An that proves that you are a coconut head.
God save us
Kawalete. Huko pia wamebanwa; Taveta barabara hakuna kwahiyo imebidi watumie zetu.hahahaha sasa sisi barrick si wamesema mwezi wa 3 wanaleta dividend yetu hapa dsm sas je wao kati izo ndege 24 na ngapi sijui 30 something wakitoa izo zao 3 tena usikute izo 3 ni zile emberor na ile Q 800 hahahaha the rest dreamliner ni mali ya KLM na hata Tvs zao wamefyata mkia hata hawazungumzii hii habari ...... ngoja niwafuate ktk forum yao
Ninataka kufika Mumbai na ATCL lakini naona haiwezekani eti ndege hazina kibali...nyani haoni kundule ila nikitaka kufika NYC naweza nikatumia KQ 😀😀
Ninataka kufika Mumbai na ATCL lakini naona haiwezekani eti ndege hazina kibali...nyani haoni kundule ila nikitaka kufika NYC naweza nikatumia KQ 😀😀
Wezi tu.
Tusichekelee sana, sisi tuna ndege jee uwezo wa kuliendesha shirika la ndege likaleta faida tunao? Maana tukumbuke Air Tanzania ilishakufa kabisa na jitihada za Magufuli tu ndiyo zinalifufua shirika hilo. Litadumu?
Nangoja financial year results 2018/2019 loss lazma i-hit $300mln!
hakuna ndege za KLM ndani ya KQ, ndege tuliokua tunaitumia pamoja na KLM ni ile boeing 747 ya cargo ambayo ilikua inapiga safari za China-Kenya, tuliwaregeshea wenyewe hio ndege..Jamaa isije ukajumlisha na ndege za KLM maana hamchelewi kusema zenu.
God save us
Sasa tatizo liko wapi?we sikia ni kwambie kumiliki ni one thing na kuendesha shirika ni another thing kumiliki tu inaweza kutufanya tuwakodishe hata hawa wenye ndege 3 tu ! hivyo basi tukikodisha bado faida ina flow na ikumbukwe ATCL sio wamiliki wa izo ndege bali wamekodishwa na Government of Tanzania Flight Agency
Okay, sasa tueleze ikiwa mnamiliki ndege 3 tu. Hizo 25 mmekodi kwa nani?hakuna ndege za KLM ndani ya KQ, ndege tuliokua tunaitumia pamoja na KLM ni ile boeing 747 ya cargo ambayo ilikua inapiga safari za China-Kenya, tuliwaregeshea wenyewe hio ndege..
Sisi tumeleta ukweli hapa tinahitaji majibu.Sasa tatizo liko wapi?
Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?
Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?
Sasa tatizo liko wapi?
Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?
Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?