The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

Labda kwako wewe kama unaona mzazi alikuwa chombo cha kukuleta duniani sawa,SISI WENGINE WAZAZI WETU NI VYANZO VYA NEEMA NA BARAKA ,ndio maana siwezi kuwaacha kwa namna yoyote ile.

Mwanaume haoi kufuata uchi au watoto hivyo vyote anavipata kwa wanawake.

Hamna kitu chochote kinachoweza VUNJA BOND YA MAMA NA MTOTO WAKE WA KIUME,si uchi,si shepu wala uzuri wa sura.Kwani hivi unaweza ukavipata wanawake wengine wazuri wapo wa kumwaga ila BOND YA MAMA KWA SISI WATOTO WA KIUME NI UNIQUE.

Yaani wewe kama unaona UCHI wako ndio utamcontrol mwanaume mpaka asahau wazazi wake nakuonea huruma.
 
Umeongea vizuri lakini hapa umeshindwa kuelewa kuwa hata usipokuwa mbinafsi huyo unaempenda anaweza kuwa mbinafsi na hatimaye wewe ndio ukaishia kuumia,kila jambo inatakiwa umtangulize Mungu kwanza,kinyume cha hapo usitegemee muujiza...
 
Nadhani Kuna mahali hatujaelewana ndio maana contradiction, mzazi licha ya mabaraka whatever you call huyo alikuwa chombo kilichotumika kukuleta duniani, na hyo kuvunja bond why uvunje bond Mana kakuzaa it's obvious ni hard kuvunja bond maana una DNA zake.

So kuleta mtu jinsia yoyote anaweza kuleta bila shida na haihusiki kuvunja bond hayo ni mambo yaliyo wekwa kiasili ndio Mana yule mama, baba, dada zote hizo ni division zilizoko kwa jamii na kila role Ina nafasi yake why ui break hyo cycle of life?

Ni sawa na Mimi nilinganishe nafasi ya baba na mwanaume kitu ambacho hakiwezekani kila mtu ana nafasi yake na haiingiliki na siwezi singizia mume wangu kuvunja upendo kwa mzazi wangu that's never to me.

Hafu Mimi uchi naona ni kiungo Cha kawaida tu ka vingine vya mwili ka macho kina nafasi ya starehe na sio kutumika ili ku win mtu
 
mkuu huu ni wimbo gani?
 
Wewe ndiye unajichanganya

 
Sasa ushajiuliza kwanini ukioa bond hiyo bond inavunjika ghafla mpaka kufikia hatua ya kumsahau mama yako mzazi.

Manake wewe unaamini UCHI na WATOTO ndio unasababisha sisi wanaume tuwasahau ndugu zetu,MIMI NDIO MAANA NIKAKUKATALIA.
 
Sasa ushajiuliza kwanini ukioa bond hiyo bond inavunjika ghafla mpaka kufikia hatua ya kumsahau mama yako mzazi.

Manake wewe unaamini UCHI na WATOTO ndio unasababisha sisi wanaume tuwasahau ndugu zetu,MIMI NDIO MAANA NIKAKUKATALIA.
Hayo ya kuamini uchi ni yako my point was clear kutofautisha hyo tofauti ya roles and responsibilities za hao watu wawili, pia wewe kuacha kumhandle mzazi wako ni uzembe wako wallah haihusiani na uchi maana ka ni uchi kila mtu anao wa kwake, let's be responsible for our actions and stop blaming other's for our failure. Hivi unaachaje kumtunza mamako usingizie mke na kurogwa mhhhhh mbona Kuna tatizo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…