The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti

MHUBIRI 7:
28Nilipania kugundua mambo hayo tena na tena, lakini sikufaulu. Kati ya wanaume elfu moja, nilifaulu kumwona mwanamume mmoja, anayestahili heshima, lakini kati ya wanawake wote kama hao sikumwona hata mmoja anayestahili heshima.
29Tazama, nimegundua jambo hili moja: Kwamba Mungu aliwaumba wanadamu wanyofu, lakini wao wenyewe wamejitafutia matatizo.
 
Wanaume & wanawake hucheat. Tofauti ya wanaume na wanawake katk kucheat n kuwa mwanaume anacheat kimihemuko tu. Yaani bila sababu ya msingi just to fulfill ile hali yake kwa mda. Na hujutia baada ya hapo na kusahau.

Mwanamke yeye hucheat kihisia.Yani ukiona mwanamke amecheat ujue kuna kitu anakosa especially kihisia kama vile kuhisi hapendwi au hakuvutii kwaiyo akipata mtu akamsifia anaanz kumpenda.

Ivyo basi. Wanaume kucheat n kawaida ila mwanamke wako asijue. Na usiendekeze kama kupiga punyeto. Just once in 6months. Na unakata mawasiliano. Ukiendekeza michepuko ndo haya ndoa znavunjika.
 
Maana Ake hakuna mkamilifu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya hao walio single wanawakubar sana wanaume wenye mahusiano kuliko sisi tulio single. Na wanawake walioolewa ndio wepesi kutongozwa na kumkubari mwanaume ambae ajaoa kuliko walio single
Had hapo nan malaya?
Bado mwanaume ndio malaya. Wewe hauoni?
 
Mkuu unahasira sana japo umetoa asilimia 99% kwa wanawake kutokusaliti ila umejiuliza hii 99% ya wanaume wanapiga wapi kama sii kwa hawo watakatifu wako ambao umedai sii wasaliti, punguza asira maana wewe umezaliwa pekeako na ujue mwili wako utaitumiaje....vingine mwaachie mwenza wako ajue mwenyewe
 
wakwako ndo yuko hivyo, hivi labda nikuulize unaposema wanaume wanacheat 99% na wanawake 1% hiyo asilimia 99 wanacheat na wanyama au na haohao wanawake unaowatetea tena wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…