Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mi nilishashtuka kitambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilishashtuka kitambo
Wewe huonewi asee
Hatuchiti sisi barbie tuko faithful[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti mtego
😜😜😂😂😂😂Hivi kwanza ulichelewa wapi wee mwanamke[emoji4], una akili mingi Sana ujue[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi kauandikia ndotoni, kazinduka tu anaupesti JF[emoji3]Mbona ghafla sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha...Wewe huonewi asee
Usiombe mkeo apate mchepuko ukamchanganya haswa yani lazima utajua tu tofauti na nyie wanaume!Unafaa sana
KwakweliMi nilishashtuka kitambo
Ha ha ha ..Maada inahusu usaliti, imeletwa na Yuda mimi ni nani nibishe[emoji16]
Soko la mende linazidi kukuwa.Kumbuka wanacheat na wanawake siyo wanaume wenzao.View attachment 2107565
[emoji3][emoji3][emoji3]Mtoa mada huenda limeponyoka,
maana kaandika Kwa jazba Sana afu Kama vile anatufokea[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Majority Wanafanya hivo baada ya maji kuwafika shingoni...yani ameshakuvumilia weeeeeeeee sasa ile hali inamjengea usugu nae anakua konkodi walau wapate faraja huko ambako na mwenzie anavurugwaSiku hizi hata wamama walioolewa wanacheat, na asilimia kubwa wanacheat na wanaume walio kwenye ndoa...
Lunch time huwa inatumika vizuri sana...
Mi mwnyw nmeona afu nmemind Sana kimoyomoyo[emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]
Shida ipo kwenye maneno ya mstari wa mwisho,ametusimanga sana... Utadhani tunapenda kufumwa.
Ndipo mtuachie kazi yetu, nyie ridhikeni na mnachokipata ndaniUsiombe mkeo apate mchepuko ukamchanganya haswa yani lazima utajua tu tofauti na nyie wanaume!
Majority Wanafanya hivo baada ya maji kuwafika shingoni...yani ameshakuvumilia weeeeeeeee sasa ile hali inamjengea usugu nae anakua konkodi walau wapate faraja huko ambako na mwenzie anavurugwa
😂😂😂😂😂😂! Nanyie mtufundishe hivo vionjo mnavyofuata huko nje sasa ! Ila kuna vijitabiatabia vinakeraga/ vinakoseshaga raha kabisa!Ndipo mtuachie kazi yetu, nyie ridhikeni na mnachokipata ndani