The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti

Pole sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.wanaume wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu. Wengine wooote tupa kule.

Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa asilimia 99 ya wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila kuwa sababu ya msingi they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo hawawapendi wake zao bali ni maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi.
Kweli kabisa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
MHUBIRI 7:
28Nilipania kugundua mambo hayo tena na tena, lakini sikufaulu. Kati ya wanaume elfu moja, nilifaulu kumwona mwanamume mmoja, anayestahili heshima, lakini kati ya wanawake wote kama hao sikumwona hata mmoja anayestahili heshima.
29Tazama, nimegundua jambo hili moja: Kwamba Mungu aliwaumba wanadamu wanyofu, lakini wao wenyewe wamejitafutia matatizo.
na tazama mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo
 
Haujakosea wanaume nature yke ni kuwa na wake wengi ukiona mwanaume anaishi na mke mmoja ujue hana furaha n ndo maana tunakufa mapema zaid yenu
 
Ndio maana Uislaam umeruhusu kuoa wake wanne maana lilionekana hili ni tatizo la kimaumbile
Tatizo na Wanawake nao wanacheat sijui nao iwe ruksa kuwa wanaume wengi daaah hii kitu ni noma sana
 
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.wanaume wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu. Wengine wooote tupa kule.

Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa asilimia 99 ya wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila kuwa sababu ya msingi they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo hawawapendi wake zao bali ni maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi.
Kwahiyo hao wanaume 99% wanachiti na wanawake 1% sio? ….tuache bana
 
Hizi tafiti umefanyia wapi mpaka ukapata hiyo conclusion??
 
Kwa nature ya maumbile na mazingira tunayoishi, mwanaume hawezi kuwa malaya bali mwanamke ndiye anayekuwa malaya. Kwa mazingira tuliyo nayo mwanaume kuwa na wanawake watano na zaidi anayewamiliki kwa wakati mmoja ni jambo la kawaaida sana.
 
...Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi ukimkamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi.
😂😂😂
Umetisha mkuu..
Umenena vyema kuwa wanachepuka bila sababu, na pia wanakuwa wanawapenda wake zao. Sasa mbona unawaita wasaliti?!!!
Rekebisha heading ya uzi bhana
 
Back
Top Bottom