Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa kweli hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi. Pamoja na maandamano bado wanatuona kuwa watanzania bado ni wajinga. CCM will do whatever they want na hakuna wakuwafanya chochoteMbowe ndiyo alikuwa anataka tubaku tukiishi na huu upumbavu
Hii kibri ni ya kupitiliza,Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.
Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.
Ni vituko na vichekesho mtupu.
Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.
Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.
Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.
Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?
Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.
Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.
These people are so detached from reality it’s not even funny!
Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
Kilichobaki kuanzishwa vikundi vya kigaidi kwa mapinduziWell, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.
Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.
Ni vituko na vichekesho mtupu.
Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.
Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.
Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.
Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?
Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.
Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.
These people are so detached from reality it’s not even funny!
Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
JPM alipata 12 mil, huyu kapata 31 mil, tofauti ni 19 mil. Siwezi kuamini kwamba mama anapendwa 19 mil. zaidi ya JPM. hilo msije kunirisha matango pori... sikubari ngoooooo.. Pumbafu zao akina Mwangedere na Team yake yote ya INEC kwa kusaliti akili za Watanzania...Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.
Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.
Ni vituko na vichekesho mtupu.
Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.
Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.
Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.
Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?
Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.
Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.
These people are so detached from reality it’s not even funny!
Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
Hakika ushindi wa Lissu CHADEMA ulikuwa ni mwanzo wa safari ya kuzaliwa Tanzania mpya.Mbowe ndiyo alikuwa anataka tubaku tukiishi na huu upumbavu
Ni vituko sanaa, mtu unabaki unajiuliza hivi akili za Hawa wanasiasa wetu ziko matakoni ama kichwani?? , mtu kama mboww, zitto kabwe, sijui wale kina kigaila walikua wanataka washiriki uchaguzi wa mazingira hayaa??is this election au sherehe za ccm kukamilisha mchakato wa kumkabidhi mwenyekiti wao uraisi..TAKATAKA KABISAWell, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.
Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.
Ni vituko na vichekesho mtupu.
Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.
Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.
Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.
Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?
Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.
Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.
These people are so detached from reality it’s not even funny!
Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
Yup!"According to the UN's World Population Prospects 2024, Tanzania's population aged 18 and above was approximately 36,013,009 people in mid-2025. This number represents a 3.43% increase from mid-2024, when it was around 34,818,477 people ."
So, if this is accurate, out of 36 M potential voters, the normal apathy, No Reforms No Election boycott, voters who voted the opposition, spoilt and trashed votes seen all over the country due to the widespread chaos, Samia somehow still manages to get 31M votes?
Hivi na wabunge wamejipa wangapi kwenye hilo bunge lao?Mbowe ndiyo alikuwa anataka tubaku tukiishi na huu upumbavu
Nauliza, hudhani kama wanaendelea KUMHUJUMU makusudi ikiwa vyombo vyote ya Ulinzi na Usalama hawakufuata amri yake ukiacha baadhi ya sehemu.Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.
Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.
Ni vituko na vichekesho mtupu.
Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.
Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.
Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.
Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?
Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.
Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.
These people are so detached from reality it’s not even funny!
Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
💯%.Kilichobaki kuanzishwa vikundi vya kigaidi kwa mapinduzi
Kama wanamhujumu basi itakuwa ni mkakati wa ajabu sana.Nauliza, hudhani kama wanaendelea KUMHUJUMU makusudi ikiwa vyombo vyote ya Ulinzi na Usalama hawakufiata amri yake ukiacha baadhi ya sehemu.
Kabla ya Uchaguzi Mkuu, kila mtu alijua Jeshi na Polisi wamejizatiti kumlinda kwa jinsi walivylkuwa wakifanga maandalizi. Lakini tunashuhudia tofauti kabisa tena kama wao ndio wanapaza moto!
Ili kuepuka yote haya nadhani ni busara kwa Samia KUJIUZU mapema kabla ya maandamano haya kuanza safari ya kwenda Dodoma. Itakuwa mbaya zaidi
Ni vituko sanaa, mtu unabaki unajiuliza hivi akili za Hawa wanasiasa wetu ziko matakoni ama kichwani?? , mtu kama mboww, zitto kabwe, sijui wale kina kigaila walikua wanataka washiriki uchaguzi wa mazingira hayaa??is this election au sherehe za ccm kukamilisha mchakato wa kumkabidhi mwenyekiti wao uraisi..TAKATAKA KABISA
Unaweza nambia sababu ya kusema wapiga kura Mil. 31 idadi ambayo hata chaguzi za nyuma hazikufikia? Kwa nini wasiseme asilimia 97 ya Kura Mil. 2 au 5 wataje namba ambayo hata mwendawazimu atashutuka!Kama wanamhujumu basi itakuwa ni mkakati wa ajabu sana.
Honestly I don’t know! So bizarre.Unaweza nambia sababu ya kusema wapiga kura Mil. 31 idadi ambayo hata chaguzi za nyuma hazikufikia? Kwa nini wasiseme asilimia 97 ya Kura Mil. 2 au 5 wataje namba ambayo hata mwendawazimu atashutuka!
Never before (even in smooth elections) has Tanzania seen an 87% voter turnout! Saying this is ridiculous will be an understatement."According to the UN's World Population Prospects 2024, Tanzania's population aged 18 and above was approximately 36,013,009 people in mid-2025. This number represents a 3.43% increase from mid-2024, when it was around 34,818,477 people ."