The United Banana Republic of Tanzania!

Don’t underestimate CCM political thugs. They bribe smaller parties to break ranks with larger opposition parties. I suspect they even register other political parties just to counter election boycotts!
 
....Under CCM this country has no future..πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨
 
Kwanza alikuwa anashindana na nani? Polepole alishasema huu uchaguzi ulikuwa ni kiini macho tu, sababu vitambulisho vya nida na sijui kupiga kura tayari vilikuwa kwenye system ya kupiga kura na matokeo tayari walikuwa nayo.
Huyu bibi kashadoda asubuhi na mapema, asubiri tu anguko lake linakuja.
 
Unaweza nambia sababu ya kusema wapiga kura Mil. 31 idadi ambayo hata chaguzi za nyuma hazikufikia? Kwa nini wasiseme asilimia 97 ya Kura Mil. 2 au 5 wataje namba ambayo hata mwendawazimu atashutuka!
Napigiria mstari, " Kwa nini wasiseme asilimia 97 ya Kura Mil. 2 au 5 wataje namba ambayo hata mwendawazimu atashutuka!"
 
Kwa kweli hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi. Pamoja na maandamano bado wanatuona kuwa watanzania bado ni wajinga. CCM will do whatever they want na hakuna wakuwafanya chochote
Kinachohitajika ni more maandamano watafungua masikio tu.
Lakini tuongee na vijana waache kuchoma vituo vya mwendokasi na mabasi ya mwendo kasi vijana wabebe bendera za πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na mabango ili hata dunia ijue tunapambania nini.
 
Bahati mbaya, Mungu hakumpa huo uoni(sijui hasa jina lake, labda utambuzi)
Haoni kitu chochote nje ya anachofikiria yeye, ni kama kapigwa upofu,
Wanachoona wengine yeye haoni, wewe ukiona watu wanaulia, yeye haoni,
Ukiwaona rushwa imetamalaki, umyeye haoni,
Watu kupotea,yeye haoni, ndio hivyo tena mnatawalia na mtu ambaye sio binadamu, kama binadamu , basi ujue ni jini hilo , sio mtu huyo,

Wewe jiulize tu, huyo mtu kaolewa, lakini ni wangapi wameshamwona Mume wake, sio mtu huo, wala suala sio kwamba ni Mwanamke, hapana,
 
Unaweza nambia sababu ya kusema wapiga kura Mil. 31 idadi ambayo hata chaguzi za nyuma hazikufikia? Kwa nini wasiseme asilimia 97 ya Kura Mil. 2 au 5 wataje namba ambayo hata mwendawazimu atashutuka!
Kimsingi walipiga kura hawafiki hata milioni 3 nchi nzima, ni utapeli wa tume fake ya uchaguzi
 
Hivi na wabunge wamejipa wangapi kwenye hilo bunge lao?
Nimeambiwa kati ya majimbo yote 272 ni mawili tu, ndio yameenda kwa wapinzani ila 270 yote ya kwao, hili bunge la kina baba levo and co sijui nchi yetu inaelekea wapi
 
@SuluhuSamia, and you think this will pass just like that πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Stop dreaming madam, just get prepared to face consequences ⌚ of what you did
#MO29 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“
 
@SuluhuSamia, and you think this will pass just like that πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Stop dreaming madam, just get prepared to face consequences ⌚ of what you did
#MO29 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“View attachment 3497184View attachment 3497185
SuluhuSamia, na unadhani itapita hivyo hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha kuota madam, jiandae kukabiliana na matokeo ⌚ ya ulichofanya #MO29
 
Nimeambiwa kati ya majimbo yote 272 ni mawili tu, ndio yameenda kwa wapinzani ila 270 yote ya kwao, hili bunge la kina baba levo and co sijui nchi yetu inaelekea wapi
Inamaana hata baba Levo Na yeye Amepita ubunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…