The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

Ted Cruz ni myahudi huwezi kusikia anakemea mauaji ya wakristo Gaza na Jerusalem. Leo anatunga script kwamba Tanzania kuna ukandamizaji wa wakristo. Wanaongea wanachotaka tu

Ted Cruz hawezi kuwa Myahudi na jina la Ki-Spanish wewe big dummy!

Babaake ni M-Cuba!
Alikuwa pastor.

Huo muswada ukifika kwa Trump na msukumo wa Ted Cruz unasainiwa fasta tu...
 
Ted Cruz ni myahudi huwezi kusikia anakemea mauaji ya wakristo Gaza na Jerusalem. Leo anatunga script kwamba Tanzania kuna ukandamizaji wa wakristo. Wanaongea wanachotaka tu.
Hata kama haongei kuhusu Gaza haimaanishi kwamba ashindwe kuongea pia yanayo ihusu tz

Simlifungia makanisa ya gwajima Tena makanisa 2000 ili situation unataka iitwaje !? Vipi kuhusu Mama yenu kuwatusi wa catholic!?

Acha bangi basiiii

Bad enough Kuna mashekhe walitoa tamko la kuwachinja wakristo na mpaka Leo hawaja chukuliwa hatua yoyote ,

Ilaumu serikali Yako Kwa kuifikisha Nchi hapa tulipo na sio kuwalaumu mabeberu Kwa wanacho taka kukifanya
 
Kwa mujibu wa umoja wa mataifa, ukandamizwaji wa kidini ni endapo;

1. Watu wanakatazwa kushikilia imani flani kabisa, imani inafanywa kosa.

2. Watu wanazuiwa kushiriki ibada, kwa kujumuika au kwa kibinafsi.

3. Watu wanalazimishwa kuacha/kufuata imani flani.

Na haya inabidi yatendeke kimfumo, kwa muda mrefu na kwa kujirudiarudia.

Kesi za ufunuo na TEC hazitoshi, japo kweli ni mbaya.

View attachment 3595653
Kesi za ufunuo hazitoshi !? Like seriously!? Makanisa Yao yalifungwa all most 3 month now unasema hazitoshi !? Vipi kuhusu wale mashekhe waliokuwa wanatishia kuwachinja waumini wa dini nyingine!? Hilo tuliitaje !?

Mamlaka ya kufanya vile walikuwa wanapewa na nani Na wakichukuliwa hatua Gani !?

Maana statement zao zilikuwa zinalenga uvunjifu wa amani na kuligawa Taifa
 
H
"Kilio cha kusaga meno." Yule mwenzako nae ametumia msemo huohuo.

Haijalishi. Tanzania na Waafrika tulikuwepo hapa tangu mwanzo wa dunia na hakuna kitakachobaidilika.

Ni muda umefika watuachie matatizo yetu ili tupate akili za kuyatatue wenyewe. Problems and challenges are the sole incentives for development and progress.
Hizo Akili zenyewe za kutatua matatizo yenu mnazo !? Be serious basiii 😄
 
I always thought you were very smart

Hii ya kuamini hawa mabeberu imenisikitisha sana

USA hawapendi mtu wala kuku
Hakuna anaye waamini mabeberu Mimi binafsi na ichukia USA mpaka basi lakini Kwa yale yaliyo tendeka nchini na yanayo endelea kutendeka

Siwezi kuwa upande wa government over my dead body

Ni mjinga tu na asiye na Akili timamu ndiye atakaye weza kuwa upande huo
 
Mazee hii haitekelezeki, US should also understands That The People of Tanzania have their own kind of democracy and that they are not obliged to follow some one's else democratic style
😂😂 Kwamba duniani Kuna democracy 2!?

Yaani Leo mnamfundisha USA kuhusu democracy ilhali nyie kuitenda hiyo democracy Ina washinda hahaha Dunia Ina mambo
 
Ted Cruz ni myahudi huwezi kusikia anakemea mauaji ya wakristo Gaza na Jerusalem. Leo anatunga script kwamba Tanzania kuna ukandamizaji wa wakristo. Wanaongea wanachotaka tu.
Hukuona Kanisa la Ufufuo na Uzima lililpofungiwa waumini waliamua kusali chini ya mti na polisi wakaenda kuwapiga mabomu?
 
Hata kama haongei kuhusu Gaza haimaanishi kwamba ashindwe kuongea pia yanayo ihusu tz

Simlifungia makanisa ya gwajima Tena makanisa 2000 ili situation unataka iitwaje !? Vipi kuhusu Mama yenu kuwatusi wa catholic!?

Acha bangi basiiii

Bad enough Kuna mashekhe walitoa tamko la kuwachinja wakristo na mpaka Leo hawaja chukuliwa hatua yoyote ,

Ilaumu serikali Yako Kwa kuifikisha Nchi hapa tulipo na sio kuwalaumu mabeberu Kwa wanacho taka kukifanya
Mashehe walipokuwa wanasema watawakata vichwa wakristo kwa akili ya mama alidhani wanamsaidia kumbe wanampalia makaa.
 
Kusema za ukweli Nchi yetu kwa sasa imegawanyika vibaya sana..! Hakuna tena umoja wa kitaifa. Imefikia mahala Raia wanaona Bora tukose wote kuliko wao waendelee kuneemeka wakati wengine wananyanyaswa.
Leo hii watanzania wanajiskia Raha nchi inapopitia misukosuko, uzalendo wa watanzania umeshuka sanaaaa! Kibaya zaidi wanaojiita wazalendo wa serikali hiii wengi wanaigiza.

Yote wa yote watanzania tusisahau hatuna nchi nyingine, tukiitia kiberti na wote tumo ndani hakuna atakae salimika......! Au ndio Bora tukose wote?? Hapana!! Nafasi bado tunayo ya kuangalia tulipojikwaaa!!

NB: wakati ni ukuta huwezi kupigana nao, watawala wakubali kwa sasa ni ngumu sana kutawala kwa kuburuza watu, nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana ya kisera na kikatiba ili kwendana na wakati tuliopo. Zama za propaganda hazifui tena dafu wa hawa ma gZ
Laiti tungekuwa na uchaguzi huru na wa haki haya yote yasingetokea. Kiburi cha wahafidhina wa CCM kujiona wao ndiyo wamiliki wa nchi hii na kuwaona wapinzani kama wavamizi wasiostahili kushiriki siasa za nchi hii ndiyo imetukwamisha. Hadi CCM watakapojua kuwa hata wapinzani wanayo haki kisiasa nchii haitakuwa moja tena, ufa uliotokea 29.10.2025 kwa CCM kutumia majeshi kuua watu wasio na hatia ili tu wao wajitangaze kushinda kwa kishindo ndiyo ulikuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la umoja wa kitaifa.
 
They won’t change nothing

Tanzania ni Nona aligned country

They will asses to the end and later come to ask for minerals deals

Gone are the days
Non Aligned country depending vaccine kutoka kwa beberu hii mentality ya Civics ya form 3B sijui mtakuja kuacha lini
 
Kusema za ukweli Nchi yetu kwa sasa imegawanyika vibaya sana..! Hakuna tena umoja wa kitaifa. Imefikia mahala Raia wanaona Bora tukose wote kuliko wao waendelee kuneemeka wakati wengine wananyanyaswa.
Leo hii watanzania wanajiskia Raha nchi inapopitia misukosuko, uzalendo wa watanzania umeshuka sanaaaa! Kibaya zaidi wanaojiita wazalendo wa serikali hiii wengi wanaigiza.

Yote wa yote watanzania tusisahau hatuna nchi nyingine, tukiitia kiberti na wote tumo ndani hakuna atakae salimika......! Au ndio Bora tukose wote?? Hapana!! Nafasi bado tunayo ya kuangalia tulipojikwaaa!!

NB: wakati ni ukuta huwezi kupigana nao, watawala wakubali kwa sasa ni ngumu sana kutawala kwa kuburuza watu, nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana ya kisera na kikatiba ili kwendana na wakati tuliopo. Zama za propaganda hazifui tena dafu wa hawa ma gZ
Unaogopa kutembea kwenye nchi yako sababu utatekwa!
Na iko hivi unawezwa kutekwa kwa kuchanganywa sura (kutekwa kimakosa) na watekaj umewaona unadhan watakuacha?

Unataka kuwe na Uzalendo?

Waziri wa Afya anaenda kuwasilisha bajeti ya wizara na designer bag yenye thamani ya USD 5,000

Unataka kue na uzalendo
 
Hii mambo ya kidini yameingiaje hapa?
Hukuwasikia mashehe waliokuwa wanaandaliwa press na kina Msigwa ili wawachinje wakristo, hukuona mapadri wakatoliki waliotekwa na kuuawa, hukuona padri Kitima alivyoshambuliwa, hukuwaona wakatoliki wa kuchovywa. Hukuona Kanisa la Gwajima likifungiwa, haya yote yalifanyika mbele ya uso wa Samia au serikali kukemea.
 
Back
Top Bottom