The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

Kumbe kazi siyo ndogo, hii bill kama Trump atatia saini kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Mswada wa Marekani unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
=================
BACKGROUND

On December 4, 2025, the State Department announced a review of the U.S.-Tanzania relationship over concerns related to election fraud, human rights abuses, and violations of religious freedom that threaten U.S. interests.

The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship Act

Requires the State Department, in coordination with other federal agencies, to conduct a comprehensive reassessment of the U.S.-Tanzania bilateral relationship, including Tanzania’s democratic trajectory, political repression and the impacts of recent unrest on U.S. businesses and regional stability.

Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.

Calls for a detailed strategy outlining necessary democratic reforms in Tanzania, including protections for freedom of expression, religious liberty and the rule of law.

Requires a report identifying Tanzanian government, ruling party and security officials responsible for political violence, enforced disappearances, censorship, religious persecution and other gross human rights violations.

Authorizes sanctions, including visa bans and asset blocking authorities, against individuals responsible for serious human rights abuses and political repression.

Suspends certain U.S. security assistance, economic and development assistance and trade support for Tanzania until the Secretary of State certifies that Tanzania has implemented meaningful democratic reforms and ended politically motivated prosecutions and censorship.

Prohibits Millennium Challenge Corporation support for Tanzania until the Tanzanian government demonstrates a renewed commitment to democratic governance.

Expresses solidarity with the people of Tanzania and supports calls for an independent international investigation into violence surrounding Tanzania’s October 2025 elections.

SWAHILI Google Translate.

USULI

Tarehe 4 Desemba 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ilitangaza mapitio ya uhusiano wa Marekani na Tanzania kuhusu masuala yanayohusiana na udanganyifu katika uchaguzi, ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa uhuru wa kidini unaotishia maslahi ya Marekani.

Kutathmini upya Sheria ya Uhusiano baina ya Marekani na Tanzania:

Inahitaji Wizara ya Mambo ya Nje, kwa uratibu na mashirika mengine ya shirikisho, kufanya tathmini ya kina ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania, ikijumuisha mwelekeo wa kidemokrasia wa Tanzania, ukandamizaji wa kisiasa na athari za machafuko ya hivi karibuni kwa biashara za Marekani na uthabiti wa kikanda.

Inaagiza Utawala kutathmini kiwango cha ushirikiano wa Jamhuri ya Watu wa China katika kijeshi, kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ushirikiano ambao unaweza kudhoofisha taasisi za kidemokrasia na maslahi ya Marekani katika eneo hilo.

Wito wa mkakati wa kina unaoeleza mageuzi muhimu ya kidemokrasia nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa uhuru wa kujieleza, uhuru wa kidini na utawala wa sheria.

Inahitaji ripoti inayobainisha maofisa wa serikali ya Tanzania, chama tawala na usalama waliohusika na vurugu za kisiasa, upotevu wa nguvu, udhibiti, mateso ya kidini na ukiukwaji mwingine mbaya wa haki za binadamu.

Inaidhinisha vikwazo, ikiwa ni pamoja na marufuku ya viza na mamlaka ya kuzuia mali, dhidi ya watu wanaohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa.

Inasimamisha baadhi ya usaidizi wa usalama wa Marekani, misaada ya kiuchumi na maendeleo na usaidizi wa kibiashara kwa Tanzania hadi Waziri wa Mambo ya Nje atakapothibitisha kuwa Tanzania imetekeleza mageuzi ya maana ya kidemokrasia na kukomesha mashtaka na udhibiti uliochochewa kisiasa.

Inakataza msaada wa Shirika la Changamoto za Milenia kwa Tanzania hadi pale serikali ya Tanzania itakapoonyesha dhamira mpya ya utawala wa kidemokrasia.

Inaonyesha mshikamano na watu wa Tanzania na inaunga mkono wito wa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia zinazohusu uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.

Hii hapa chini ni Sehemu tu ya bill yenyewe, kesho nawaletea bill nzima yenye kurasa 18. 👇👇

View attachment 3595674

Wivu unawasumbua wajinga hawa. Wanataka kila deal kubwa ya madini makampuni yao yazimiliki.

China anazo nguvu na anafanya miradi mingi Afrika, USA anapopoteza ushawishi Trump na wasaidizi wake wanaumia sana vichwani mwao.

Trump kaenda mara mbili China katika kipindi cha miezi 11 iliyopita wakati Rais wa China hajaenda hata mara moja, presha ipo upande wa USA kuliko China.
 
Nilisema siku nyingi kuwa CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. Kumbe hata dunia imeliona hili CCM sasa kapu moja na Al qaeda, Bokoharam, Al Shaabab nk.
CCM bado ina ushawishi mkubwa huko walipo wananchi, usidanganyike na hizi siasa za CHADEMA ambayo haina mtandao mpana kulinganisha na CCM.

Kuna vita ya kiuchumi Tanzania inapigana muda huu na itaishinda tu.
 
Hichi ndo wanachofanya sasa hivi...

Misaada si walishaikata tokea 2025 huko?

Kama ni rasilimali Tanzania hatuna maajabu kwenye hilo...

Na kwanini wanatunga kisa cha uongo kwamba wakristo wanakandamizwa hapa nchini? Kitu ambacho sio kweli mpaka wamarekani waliowahi kuishi huku wenyewe wanabisha.

Itakuwa wanatanua kifua tu, waonekane wanajali kuhusu demokrasia.
Makanisa kufungiwa(gwajiboy) hapa utasema walisha fungua
Mapadre kutekwa na kushambuliwa
Kupelekea wavaa vijora kwa mwakilishi wa Vatican na drama nyinginezo umesha sahau?

Unabeza kwamba Wanatanua kifua subiri hiyo bill ipitishwe kuwa Sheria ili ujue ni kifua kinatanuliiwa au watu wapo serious. Ukiona jambo limepewa airtime kwenye bunge lenu kibogoyo na watu kujambajamba ujue Hali sio nzuri
 
Maana yake kumwachia Tundu Lissu, kuunda sererikali ya umoja wa kitaifa , kuunda katiba Mpya , kufanya uçhaguzi mwingine, kuadhibu wabaradhuli
Hayo yote hayatafanyika. Na hao US utawaona wakikaribishwa na Samia pale ikulu Dodoma.

Hatuendeshwi kwa remote control.
 
Kwa mujibu wa umoja wa mataifa, ukandamizwaji wa kidini ni endapo;

1. Watu wanakatazwa kushikilia imani flani kabisa, imani inafanywa kosa.

2. Watu wanazuiwa kushiriki ibada, kwa kujumuika au kwa kibinafsi.

3. Watu wanalazimishwa kuacha/kufuata imani flani.

Na haya inabidi yatendeke kimfumo, kwa muda mrefu na kwa kujirudiarudia.

Kesi za ufunuo na TEC hazitoshi, japo kweli ni mbaya.

View attachment 3595653
Hiyo namba mbili uliyoiandika ilitendeka au haikutendeka?
 
Wivu unawasumbua wajinga hawa. Wanataka kila deal kubwa ya madini makampuni yao yazimiliki.

China anazo nguvu na anafanya miradi mingi Afrika, USA anapopoteza ushawishi Trump na wasaidizi wake wanaumia sana vichwani mwao.

Trump kaenda mara mbili China katika kipindi cha miezi 11 iliyopita wakati Rais wa China hajaenda hata mara moja, presha ipo upande wa USA kuliko China.
China na Marekani wale ni big fish ugomvi wao usiufananishe na wa dagaa Tanzania.
 
Hahahaaaaa

USA will never liberate any African country
Kwanini hao bunch of hooligans wanakuwa wazito kuyasovu hayo matatizo sasa? Utekwaji utekwaji. Tizama mtandao wetu pendwa wa JF unayo yapitia. Was it necessary kuifungia mtandao huu kisa MaX amegoma kuwapa ushirikiano wanao utaka? By the way unajua walikuwa wanataka Nini humu JF? Kama sio taarifa za members humu ili wawapoteze?

Acha kutete uhuni. Ifikie mahala walio pewa dhamana waache kiburi na wafanye mambo kwa mujibu wa katiba
 
Kumbe kazi siyo ndogo, hii bill kama Trump atatia saini kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Mswada wa Marekani unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
=================
BACKGROUND

On December 4, 2025, the State Department announced a review of the U.S.-Tanzania relationship over concerns related to election fraud, human rights abuses, and violations of religious freedom that threaten U.S. interests.

The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship Act

Requires the State Department, in coordination with other federal agencies, to conduct a comprehensive reassessment of the U.S.-Tanzania bilateral relationship, including Tanzania’s democratic trajectory, political repression and the impacts of recent unrest on U.S. businesses and regional stability.

Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.

Calls for a detailed strategy outlining necessary democratic reforms in Tanzania, including protections for freedom of expression, religious liberty and the rule of law.

Requires a report identifying Tanzanian government, ruling party and security officials responsible for political violence, enforced disappearances, censorship, religious persecution and other gross human rights violations.

Authorizes sanctions, including visa bans and asset blocking authorities, against individuals responsible for serious human rights abuses and political repression.

Suspends certain U.S. security assistance, economic and development assistance and trade support for Tanzania until the Secretary of State certifies that Tanzania has implemented meaningful democratic reforms and ended politically motivated prosecutions and censorship.

Prohibits Millennium Challenge Corporation support for Tanzania until the Tanzanian government demonstrates a renewed commitment to democratic governance.

Expresses solidarity with the people of Tanzania and supports calls for an independent international investigation into violence surrounding Tanzania’s October 2025 elections.

SWAHILI Google Translate.

USULI

Tarehe 4 Desemba 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ilitangaza mapitio ya uhusiano wa Marekani na Tanzania kuhusu masuala yanayohusiana na udanganyifu katika uchaguzi, ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa uhuru wa kidini unaotishia maslahi ya Marekani.

Kutathmini upya Sheria ya Uhusiano baina ya Marekani na Tanzania:

Inahitaji Wizara ya Mambo ya Nje, kwa uratibu na mashirika mengine ya shirikisho, kufanya tathmini ya kina ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania, ikijumuisha mwelekeo wa kidemokrasia wa Tanzania, ukandamizaji wa kisiasa na athari za machafuko ya hivi karibuni kwa biashara za Marekani na uthabiti wa kikanda.

Inaagiza Utawala kutathmini kiwango cha ushirikiano wa Jamhuri ya Watu wa China katika kijeshi, kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ushirikiano ambao unaweza kudhoofisha taasisi za kidemokrasia na maslahi ya Marekani katika eneo hilo.

Wito wa mkakati wa kina unaoeleza mageuzi muhimu ya kidemokrasia nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa uhuru wa kujieleza, uhuru wa kidini na utawala wa sheria.

Inahitaji ripoti inayobainisha maofisa wa serikali ya Tanzania, chama tawala na usalama waliohusika na vurugu za kisiasa, upotevu wa nguvu, udhibiti, mateso ya kidini na ukiukwaji mwingine mbaya wa haki za binadamu.

Inaidhinisha vikwazo, ikiwa ni pamoja na marufuku ya viza na mamlaka ya kuzuia mali, dhidi ya watu wanaohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa.

Inasimamisha baadhi ya usaidizi wa usalama wa Marekani, misaada ya kiuchumi na maendeleo na usaidizi wa kibiashara kwa Tanzania hadi Waziri wa Mambo ya Nje atakapothibitisha kuwa Tanzania imetekeleza mageuzi ya maana ya kidemokrasia na kukomesha mashtaka na udhibiti uliochochewa kisiasa.

Inakataza msaada wa Shirika la Changamoto za Milenia kwa Tanzania hadi pale serikali ya Tanzania itakapoonyesha dhamira mpya ya utawala wa kidemokrasia.

Inaonyesha mshikamano na watu wa Tanzania na inaunga mkono wito wa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia zinazohusu uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.

Hii hapa chini ni Sehemu tu ya bill yenyewe, kesho nawaletea bill nzima yenye kurasa 18. 👇👇

View attachment 3595674

Nahisi ikitokea hii nchi imeshikwa na CHADEMA hao Marekani na Trump wao watakutieni Hadi vidole maana inaonekana mnawawaogopa sana
 
CCM bado ina ushawishi mkubwa huko walipo wananchi, usidanganyike na hizi siasa za CHADEMA ambayo haina mtandao mpana kulinganisha na CCM.

Kuna vita ya kiuchumi Tanzania inapigana muda huu na itaishinda tu.
List ya viongozi wa CCM wanaopigwa pin umeiona? Na wakiendelea na kiburi chao ipo hatari CCM kuwa named chama cha kigaidi.
 
Hiyo mikwara haitishi mtu mkuu. Tuligombana na Ujerumani enzi za Mwalimu Nyerere yakaisha kiungwana tu.

Maslahi ya Tanzania lazima yapiganiwe kwa namna yoyote ile.
 
Uchu tu wa rasilimali unawasumbua!

Tanzania ni gifted and sovereignty country na inalindwa na mkono wa Mungu

CCM bado ina ushawishi mkubwa huko walipo wananchi, usidanganyike na hizi siasa za CHADEMA ambayo haina mtandao mpana kulinganisha na CCM.

Kuna vita ya kiuchumi Tanzania inapigana muda huu na itaishinda tu.
😂😂Eti vita ya kiuchumi.
Eti CCM ina ushawishi ,itisheni uchaguzi kura zihesabiwe hadhari kama walivyofanya CHADEMA halafu wekeni mgombea wa CCM upande mwingine muweke jiwe.
Nakuhakikishia jiwe litashinda kabla ya saa nne asubuhi
 
CHADEMA wapuuzi tu, CCM imeshinda uchaguzi wenye vyama 17 hao CHADEMA ndio kina nani?.
 
Back
Top Bottom