The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

Hawa wamarekani wakisema "Religious persecution" moja kwa moja wataifafanua kama "crimes against humanity" ili kuweka uzito.

CCM walifanya mauaji ya kimbari Okt 29, hiyo ni crime against humanity, kwanini Marekani wasitumie hili kosa, ambalo lipo wazi, na kila mwanachi analifahamu, wanahangaika na religious persecution ambayo inagawanya sana watu?

Kanisa katoliki na kwa kiasi fulani lile kanisa linaloongozwa na Gwajima, ni parallel states. Wanaamika zaidi ya serikali, na serikali inalijua hilo! Wana moral authority kubwa sana! Ndiyo maana CCM imewashambulia. Dini haikuwa sababu.

Ni kweli mashambulizi yalifanyika, lakini religious persecution ni kubwa sana, inaonesha patterns. Angalia nchi kama Yemen, China, Saudi Arabia na Somalia. Watu wananyimwa makazi, mali zinataifishwa, dini nzima zinakandamizwa na si vikundi/madhehebu maalum tu.

Kuhusu waislamu, mgawanyiko kati yao na wakristo upo. Rejea matukio ya 2013, lakini hatujawahi kufika mbali.

Siungi mkono CCM, Marekani wanafanya vyema kuwaumiza. Ila njia zinazotumika zina madhara sana.
Ccm ni kaniki ndugu yangu hata ulifue vipi haliwezi kubadili rangi yake hicho watakacho kupata they deserve it
 
Ccm ingekuwa na ushawishi huo tusingeshuhudia chaguzi za kihayawani. Unaongelea zama zilizopita sio sasa.
Hata kesho, mkuu huko mikoani anzisheni matawi ili wawafahamu sio kutegemea hizi siasa za majukwaani ambazo ni za msimu.

CCM ipo kila kona na inafanya kazi nyingi za kimaendeleo.
 
Hakuna cha maslahi ya Tanzania hapo, bali kinacholindwa ni ccm kukaa madarakani kwa shuruti.
CCM haikai madarakani kama fashion ina ilani ya uchaguzi ambayo inatimizwa kila dakika.

Hao wamarekani wanayo mengi ya ndani ya nchi yao ambayo wanadaiwa na wananchi wao.

Hizo presha wangejikita katika kutazama ni kwa namna gani Trump atapata wabunge wengi wa republican ukifika uchaguzi wao. Wamarekani wamekerwa sana na namna Trump anavyokosa akili za kiuongozi.
 
Hata kesho, mkuu huko mikoani anzisheni matawi ili wawafahamu sio kutegemea hizi siasa za majukwaani ambazo ni za msimu.

CCM ipo kila kona na inafanya kazi nyingi za kimaendeleo.
Una mawazo ya kizamani mno, simba na Yanga zina washabiki nchi nzima na hazina viwanja vya mpira huko. Dunia ya sasa ni ushawishi na sio kuwa na matawi sijui upuuzi gani. Maendeleo yanafanywa kwa kodi za wananchi sio pesa za ccm.
 
Una mawazo ya kizamani mno, simba na Yanga zina washabiki nchi nzima na hazina viwanja vya mpira huko. Dunia ya sasa ni ushawishi na sio kuwa na matawi sijui upuuzi gani. Maendeleo yanafanywa kwa kodi za wananchi sio pesa za ccm.
Hakuna ushawishi bila kuwa na network ya chama. siku zote chama ni wingi wa wanachama wenye utayari wa kuwa karibu na kinachofanyika.

Trump anachukuliwa kuwa mwehu fulani mzee lakini anao mamilioni ya wamarekani wanaomrudisha ikulu anao mtandao wa wanachama.

CHADEMA mnaishia humu JF na huko instagram lakini mnakosa ukaribu na mamilioni ya wananchi wa kawaida.
 
CCM haikai madarakani kama fashion ina ilani ya uchaguzi ambayo inatimizwa kila dakika.

Hao wamarekani wanayo mengi ya ndani ya nchi yao ambayo wanadaiwa na wananchi wao.

Hizo presha wangejikita katika kutazama ni kwa namna gani Trump atapata wabunge wengi wa republican ukifika uchaguzi wao. Wamarekani wamekerwa sana na namna Trump anavyokosa akili za kiuongozi.
Wamarekani wana uwezo mkubwa sana, wanaweza kufuatilia ya Tanzania, wakapeleka vyombo anga za mbali, wakapigana na Iran, wakadeal na mambo yao ya ndani bila kuyumba. Unafananisha na Tanzania ambayo hata kurekebisha barabara zilizojaa mashimo ni shida?
 
Hakuna ushawishi bila kuwa na network ya chama. siku zote chama ni wingi wa wanachama wenye utayari wa kuwa karibu na kinachofanyika.

Trump anachukuliwa kuwa mwehu fulani mzee lakini anao mamilioni ya wamarekani wanaomrudisha ikulu anao mtandao wa wanachama.

CHADEMA mnaishia humu JF na huko instagram lakini mnakosa ukaribu na mamilioni ya wananchi wa kawaida.
Mbona mkiambiwa tume ya uchaguzi iwe huru hamtaki, ama hayo matawi yenu ni bosheni?
 
Kwanini hao bunch of hooligans wanakuwa wazito kuyasovu hayo matatizo sasa? Utekwaji utekwaji. Tizama mtandao wetu pendwa wa JF unayo yapitia. Was it necessary kuifungia mtandao huu kisa MaX amegoma kuwapa ushirikiano wanao utaka? By the way unajua walikuwa wanataka Nini humu JF? Kama sio taarifa za members humu ili wawapoteze?

Acha kutete uhuni. Ifikie mahala walio pewa dhamana waache kiburi na wafanye mambo kwa mujibu wa katiba
Wewe unaamini usa is the saviour?
 
Kumbe kazi siyo ndogo, hii bill kama Trump atatia saini kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Mswada wa Marekani unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
=================
BACKGROUND

On December 4, 2025, the State Department announced a review of the U.S.-Tanzania relationship over concerns related to election fraud, human rights abuses, and violations of religious freedom that threaten U.S. interests.

The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship Act

Requires the State Department, in coordination with other federal agencies, to conduct a comprehensive reassessment of the U.S.-Tanzania bilateral relationship, including Tanzania’s democratic trajectory, political repression and the impacts of recent unrest on U.S. businesses and regional stability.

Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.

Calls for a detailed strategy outlining necessary democratic reforms in Tanzania, including protections for freedom of expression, religious liberty and the rule of law.

Requires a report identifying Tanzanian government, ruling party and security officials responsible for political violence, enforced disappearances, censorship, religious persecution and other gross human rights violations.

Authorizes sanctions, including visa bans and asset blocking authorities, against individuals responsible for serious human rights abuses and political repression.

Suspends certain U.S. security assistance, economic and development assistance and trade support for Tanzania until the Secretary of State certifies that Tanzania has implemented meaningful democratic reforms and ended politically motivated prosecutions and censorship.

Prohibits Millennium Challenge Corporation support for Tanzania until the Tanzanian government demonstrates a renewed commitment to democratic governance.

Expresses solidarity with the people of Tanzania and supports calls for an independent international investigation into violence surrounding Tanzania’s October 2025 elections.

SWAHILI Google Translate.

USULI

Tarehe 4 Desemba 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ilitangaza mapitio ya uhusiano wa Marekani na Tanzania kuhusu masuala yanayohusiana na udanganyifu katika uchaguzi, ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa uhuru wa kidini unaotishia maslahi ya Marekani.

Kutathmini upya Sheria ya Uhusiano baina ya Marekani na Tanzania:

Inahitaji Wizara ya Mambo ya Nje, kwa uratibu na mashirika mengine ya shirikisho, kufanya tathmini ya kina ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania, ikijumuisha mwelekeo wa kidemokrasia wa Tanzania, ukandamizaji wa kisiasa na athari za machafuko ya hivi karibuni kwa biashara za Marekani na uthabiti wa kikanda.

Inaagiza Utawala kutathmini kiwango cha ushirikiano wa Jamhuri ya Watu wa China katika kijeshi, kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ushirikiano ambao unaweza kudhoofisha taasisi za kidemokrasia na maslahi ya Marekani katika eneo hilo.

Wito wa mkakati wa kina unaoeleza mageuzi muhimu ya kidemokrasia nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa uhuru wa kujieleza, uhuru wa kidini na utawala wa sheria.

Inahitaji ripoti inayobainisha maofisa wa serikali ya Tanzania, chama tawala na usalama waliohusika na vurugu za kisiasa, upotevu wa nguvu, udhibiti, mateso ya kidini na ukiukwaji mwingine mbaya wa haki za binadamu.

Inaidhinisha vikwazo, ikiwa ni pamoja na marufuku ya viza na mamlaka ya kuzuia mali, dhidi ya watu wanaohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa.

Inasimamisha baadhi ya usaidizi wa usalama wa Marekani, misaada ya kiuchumi na maendeleo na usaidizi wa kibiashara kwa Tanzania hadi Waziri wa Mambo ya Nje atakapothibitisha kuwa Tanzania imetekeleza mageuzi ya maana ya kidemokrasia na kukomesha mashtaka na udhibiti uliochochewa kisiasa.

Inakataza msaada wa Shirika la Changamoto za Milenia kwa Tanzania hadi pale serikali ya Tanzania itakapoonyesha dhamira mpya ya utawala wa kidemokrasia.

Inaonyesha mshikamano na watu wa Tanzania na inaunga mkono wito wa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia zinazohusu uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.

Hii hapa chini ni Sehemu tu ya bill yenyewe, kesho nawaletea bill nzima yenye kurasa 18. 👇👇

View attachment 3595674

hawa mashoga wa marekani wanapenda kujiamulia mambo.
 
Uwe makini sana. Hili siyo jambo la kukimbilia bila kujuwa unakimbilia nini.

Wazungu hao hao Samia Suluhu Hassan kila mwezi anawalipa dola 45,000 wamsafishe awe mweupe kama pamba; au umesahau mara hii?
Hiyo Gesi huko Mtwara kishawapa karibu na bure; na wakitaka chochote; hata kuwapeleka utumwani waTanzania leo hii yupo tayari kabisa.

Sijui kwa nini waTanzania tunakuwa wasahaulifu kiasi hiki.

Makosa yetu ndiyo mara nyingi yanayotusababishia hali hii mbovu itukabili.
Hujatoa suluhisho mbadala
 
wengi labda hawafahamu D.Trump na xi ping wanaigawana dunia, safari ya D.Trump ilikuwa ni hiyo agenda sasa hii karne tusifanye makosa tena, twendeni na Christian western world na siyo communist antichrist world ya china tulishakuwa huko na matokeo yake tunayaona.

ndiyo maana USA tayari keshamuingiza venezuela na sasa cuba kwenye himaya yake na sisi ni sehemu ya western Christian world na siyo communist china …
impacts of colonial mentality.
 
Venezuela, Cuba, Iraq, Libya, Iran na Zimbabwe walikuwa kwenye huo umoja wa wajinga wa NAM lakini wote USA kawanyoosha.
Nyie Tanzania mna nini cha kuwadindia Tanzania?

Hadi mnunue Ice cream za Azam zile za jero kwa Bilioni moja ndiyo mtaelewa
ondoa Iran kwenye hiyo orodha usije ukaonekana taahira kijana wangu.
 
Back
Top Bottom