Usihadaike. Jaribu kuelewa kinachoendelea. Hakuna urafiki wowote kati ya hao; na wala hatulazimiki kushiriki na yeyote kama koloni lao jipya.Wamuondoe Xi na chama chq CPC basi tuone. Lakini ndio kwanza wiki 2 zilizopita Trump alienda kutafuta deals China. Dunia ina unafiki sana
Ni watawala hawa wasiojitambua ndio wanaotupeleka kwenye matatizo yasiyokuwa ya lazima.
Matatizo yetu ni lazima tuyatatue wenyewe, uwezo huo tunao sana.