Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Tume ya Chande imekuja na mapendekezo ya kuundwa tume nyingine, ipo kazini muda huu.Hata shule wewe ulienda kusomea ujinga kama unaamini kuwa wale watoto walikuwa wanataka kupindua serikali basi unaweza kuaminishwa kuwa mimi ndiye baba yako halisi na ukaamini. Hivi unajua maana ya kupindua serikali wewe?Umenikumbusha hadithi ya James Hadley Chase Believe this you will believe anything.
Tutazijua pumba zipi na mchele upi ni suala la muda tu.