Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Tume itakuwa huru na mtashindwa uchaguzi, sijui mtajifichia wapi!.Mbona mkiambiwa tume ya uchaguzi iwe huru hamtaki, ama hayo matawi yenu ni bosheni?
Hao waliopo nyuma yenu wanataka sana kufaidika na madini na utajiri mwingi uliopo Tanzania wanajua nyinyi hamna jeuri yoyote ya kuwazuia kufanya chochote, wanawafadhili na kuwalipa viongozi wenu.
Janja yao na yenu tumeshaijua kitambo sana.