StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Amkopaye ni mtumwa wake akopeshaye!.Unataka nifanye hivi katika kila mchango ninaowasilisha?
Suluhisho mbadala tayari nilishautoa siku nyingi sana, na hata kwenye mada hii hii nimeeleza nini kinachofaa watusaidie tujikomboe wenyewe siyo wao kutukomboa. Huko ni kutuweka chini ya himaya yao.
Tafuta nilichochangia.