CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kuanzia wakurugenzi wa makampuni makubwa,wanasiasa,wajasiriamali,mabilionea,forbes chitchat inawaletea watu wenye nguvu zaidi chitchat,
name; charminglady
org; international model
age;22
position;11
unashukuru nini hukutegemea kuingia kwenye listi auname; charminglady
org; international model
name; Mr Rocky
org; president JF bank,ndie aliyeikopesha nchi ya tazmania pesa ya uendeshaji gesi
age;40
position;14
name; Donn
org;CEO wa JF telecoms,aliamua kufuata nyayo za mjomba wake Chimbuvu
age;18
position;15
Shukrani sana mkuu
Kuanzia wakurugenzi wa makampuni makubwa,wanasiasa,wajasiriamali,mabilionea,forbes chitchat inawaletea watu wenye nguvu zaidi chitchat,
name; Baba V
organisation;CEO wa Chitchat relationship.kwa kutumia sheria ameweza kurudisha hadhi ya mahusiano CC
age;76
position ;1
name; Arushaone
org; president wa chitchat
age;35
position;2
name; manoah
org; CEO manoah engineering works,inasemekana ndiye mmojawapo wa waliorudisha treni ya mwakyembe kuendelea na shughuli
age;30
position;3
name; Madame B
org;CEO msuto.com,cc job recruiters
age;22
position;4
name; Bishanga
org; CEO ChitChat udaku,ndiye muanzilishi wa kutoa hadharani picha za aibu
age;85
position;5
name; Mamndenyi
org; secretary African Union CC,aliweza kuleta mazungumzo ya amani baina ya kiongozi wa M23 Bujibuji na utawala wa rais wa cconggo
age;30
name; watu8
org;CEO wa advert co, mkurugenzi wa usalama wa taifa,alifanikisha kupatikana kwa pembe za ndovu kenya na china.
Age;59
name; Erickb52
org; chairman wa chitchat restaurant & pub
age;28
position;8
name; Chimbuvu
org;co-founder wa JF forbes
age;19
position;9
name; MzunguMndali
org; politician
age;72
position;10
name; charminglady
org; international model
age;22
position;11
name; Marry Hunbig
org;secretary United Nations CC
age;24
position;12
name; Ruttashobolwa
org;CEO law firm,ndiye anayesimamia kesi za lulu na papa musofe
age;59
position;13
name; Mr Rocky
org; president JF bank,ndie aliyeikopesha nchi ya tazmania pesa ya uendeshaji gesi
age;40
position;14
name; Donn
org;CEO wa JF telecoms,aliamua kufuata nyayo za mjomba wake Chimbuvu
age;18
position;15
hah! naandamana!
name: Smiling Saint
org:founder umoja wa mabachela wa chitchat (UMACHI)
aliwaunganisha mabachela wote wa chitchat kupinga unyanyasaji wa wenye ndoa wa chitchat
age:kama Erickb52
position: 0.9 (kabla ya 1)
[/SIZE]unashukuru nini hukutegemea kuingia kwenye listi au
Dah,hivi ukitukana nini ndio Mods wanatoa BAN?
Dah,hivi ukitukana nini ndio Mods wanatoa BAN?
Aiseee Chimbuvu nakushtaki kwa Marry Hunbig ... Umekosea age yangu not 18 ni 21yrs bana... Kumbe unatakiwa kuwa unanipa shikamoo kila asubuhi....! Unataka wafanya kazi wangu pale ilovetz.com wanishangae eenh...
User BANNED!
Tembelea jukwa la siasa watakupa aina za matusi, utashangaa mwenyewe utakavyo jichagulia likupendezalo..
He he he......Tunavyo ongea hapa ina maana mtu yupo lupango teyari..?
Maskini Chilli,ndio ajifunze si vyema kuporomoshea wengine matusi!
Anaweza akakosa harusi eti....