The world's most powerful people in chitchat 2013-forbes chitchat

Nakata rufaa!! Haiwezekani Baba V akanizidi wakati alikuja juzi kati kunikopa dola milioni mbili kuwa bizness zake zimeyumba sana! Nashangaa leo kanizidi!!! Hao wakaguzi wa biashara wana kitu walichokosea, Jumatatu waite ofisini kwako uwahoji...!
 
Last edited by a moderator:

Sasa mkuu Arushaone rufaa yenyewe inakatwa kwa Baba V,sijui inakuwaje hapo!
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa wa itifaki,itifaki itazingatiwa

Nakata rufaa!! Haiwezekani Baba V akanizidi wakati alikuja juzi kati kunikopa dola milioni mbili kuwa bizness zake zimeyumba sana! Nashangaa leo kanizidi!!! Hao wakaguzi wa biashara wana kitu walichokosea, Jumatatu waite ofisini kwako uwahoji...!
 
Last edited by a moderator:
Rufaa yako itaanza kusikilizwa baada ya masaa 24

mtu mwenyewe wala haitikii wito wa rufaa... tangu asubuhi ameweka fake info ya my age hapo na hajatoa.... sijui kama atasikiliza hiyo yako Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Nakata rufaa!! Haiwezekani Baba V akanizidi wakati alikuja juzi kati kunikopa dola milioni mbili kuwa bizness zake zimeyumba sana! Nashangaa leo kanizidi!!! Hao wakaguzi wa biashara wana kitu walichokosea, Jumatatu waite ofisini kwako uwahoji...!

Kijana tambua kuwa tembo hata akonde vipi hawezi kuwa kama mbuzi. kwa hiyo hata kuyumba kwangu bado ni zaidi ya mafanikio kwa level yako, hii ni next level
 
Last edited by a moderator:
Haya toa nguo zako chafu,saa tatu uwe msafi ili uangalie kilimani sesame kipindi cha watoto

duhhhh..... mda huo si tayari hata huu uziutakuwa ushapoteza ladha :coffee:
 
Kijana tambua kuwa tembo hata akonde vipi hawezi kuwa kama mbuzi. kwa hiyo hata kuyumba kwangu bado ni zaidi ya mafanikio kwa level yako, hii ni next level

Rufaa yangu itasikilizwa J'tatu Baba V tusiingilie mahakama.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…