The world's most powerful people in chitchat 2013-forbes chitchat

we Chimbuvu ndo kusema umaarufu wangu pedejee C6 umeisha au? List yako sio sawa
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza,tumefanya editing baada ya kumtoa mtu anayejiita (ngozinyeupe(muzungu) bandali) kuwekwa kimakosa.asanteni sana,


we Chimbuvu ndo kusema umaarufu wangu pedejee C6 umeisha au? List yako sio sawa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhaahah gudmorning chairman Baba V

Goodmorning kijana, nimeona Vin Diesel kuna haja ya kumtambua kama mtu maalum alieuanza mwaka kwa style ya kamatakamata. Yaani mwezi huu tu katongoza mabinti na wamama zaidi ya hamsini, tena kwa nyakati zingine akiwakuta watatu au wanne anatongoza wote kwa mpigo. Sikumbuki hata siku moja kuambiwa mafanikio yake na kuleta mpenzi wake kumtambulisha kwangu kama mwenyekiti.Yeye anaishia kutongoza na kutongoza tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahah wewe una utani hahahah
afu hizo list huna zinatoka na mbadala wake kama kuna poweful people lazima itoke na the most wadhaifu people in cc hata forbes huwa wanafanya hivyo huwa kuna list ya nchi tajiri na list ya nchi maskini
 
Nini maana ya mambo haya?

afu hizo list huna zinatoka na mbadala wake kama kuna poweful people lazima itoke na the most wadhaifu people in cc hata forbes huwa wanafanya hivyo huwa kuna list ya nchi tajiri na list ya nchi maskini
 
Ngoja nianze kufanya utafiti.


 
Last edited by a moderator:

Nitamwaga ushahidi hapa namna mabibi na mabinti wanavyonitongoza....nitaanzisha uzi maalumu hivi punde shutuma zikizidi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…