Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Lakini mlipata hela za bure.Acha kuzuga.Nilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.
Makombo tu mkuu.Lakini mlipata hela za bure.Acha kuzuga.
Ulikuwa nayo hapo awali?Muwe na shukrani.Changamoto yenu hiyo.Makombo tu mkuu.
USAID ni mtego wa Panya! kwa msululu huu wa wanufaika,shughuli nyingi duniani zitaathirika sana .Top Ngo Usaid Recipients (fiscal Years 2013-2022)
1. Catholic Relief Services: $4.6 billion (nonprofit)
2. Chemonics International: $4.5 billion (for-profit)
3. FHI 360: $3.8 billion (nonprofit)
4. Development Alternatives, Inc.: $3 billion (for-profit)
5. ABT Associates, Inc.: $2.6 billion (for-profit)
6. RTI International: $2.3 billion (research institute)
7. John Snow International: $1.8 billion (nonprofit)
8. Save the Children Federation, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)
9. ARD, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)
10. Jhpiego Corporation: $1.3 billion (nonprofit)
11. Deloitte: $1.2 billion (for-profit)
12. World Vision: $1.2 billion (nonprofit)
13. Mercy Corps: $1.1 billion (nonprofit)
14. ADCI/VOCA: $1.1 billion (nonprofit)
15. Population Services International: $1.1 billion (nonprofit)
Source: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/forbes/posts/these-are-the-top-usaid-recipientsfrom-religious-groups-to-major-us-companiesas-/1001106715212652/?locale=pt_PT
Zaidi ya Asilimia 70 inabaki kwao .. Africa inakuja 30%Kuna watu huku walikuwa wanashangaa mabilion ya dola kutengwa na USAID kwa nchi za Africa wao wanajua kwamba pesa inaingia direct kwa nchi husika.
Tena inakuja ikiwa na target kuwa nufaisha wao,wenzetu wako vizuri kwenye eneo la economic intelligence msaada unakuja na kutimiza sera zao na agenda,kupenyeza majasusi kwa kigezo cha kusaidia,a case study ya mwarabu vs wawekezaji wa kizungu wakipigania loliondo kuna NGO nyingi zilitumika mpaka ikafika mahali serikali wakazifunga.Zaidi ya Asilimia 70 inabaki kwao .. Africa inakuja 30%
Sahihi kabisa...ingawa long process kidogo inataka utulize kichwa....Kwanza siku hizi hakuna DUNS number kuna UEI, na hata wakati ilipokuwepo ilikuwa inatolewa bure tu ila kwa watu wasiojua walikuwa wanapigwa na makampuni binafsi online. Ni kama DV kama hujui waweza lipishwa wakati ni bure.
Kujisajili SAM ni requirement kwa kila organization (US and non US alike) as long as utapata US government funds, whether through a contract or grant.
Duh!RTI a non profit research institute dedicated to improving human condition.
hivi karibuni walikuwa na mradi wa "tuhifadhi maliasili"
Na zikifika Dar nao wafanye yao, mkoani wafanye yao at last kwa mlengwa mnufaika huko kisokorokwinyo inafika $ 0.5. Ha ha ha this is the worldWengi walidhani hivyo! Nimefanya kazi Mashirika hayo...Ukisikia mradi wa $ 100 (Mfano) zako ni $ 20! tu mkuu, zinaanza kukatwa hapo hapo USAID, zinaenda kwa aliyeomba, mfano Care International, RTI...etc, mpaka ifike kwako ni $ 20! Huo ndio ukweli!
Sio kweli. Kama wewe ni sub na umeandika ka proposal kako ka $20 na prime proposal yake ni $100. Ulitaka upewe zaidi ya ulichoomba?Wengi walidhani hivyo! Nimefanya kazi Mashirika hayo...Ukisikia mradi wa $ 100 (Mfano) zako ni $ 20! tu mkuu, zinaanza kukatwa hapo hapo USAID, zinaenda kwa aliyeomba, mfano Care International, RTI...etc, mpaka ifike kwako ni $ 20! Huo ndio ukweli!
Acha kupotosha. Ebu upload hiyo US form ambayo inabidi utafute wakili akujazie.U.S hakuna cha bure mkuu kusajili tu NGO hadi ifikie hatua ya kutolipa kodi IRS 501(C)(3) inakubana lazima ujaze form utafute wakili vinginevyo we utakuwa unasubiria papa wakishiba upate makombo.
Kuna form mbili IRS standard form 1023 na IRS 1023 EZAcha kupotosha. Ebu upload hiyo US form ambayo inabidi utafute wakili akujazie.
RTI kuwa na ofisi marekani si kosa, huwez mpangia mtu aina ya msaada wa kutoaNilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.
Shukuran ni suala gumu sana kwa wabongo, unakuta huko alipotoka hakuwa na hata 100, ila alichokuwa anapata anaita makomboUlikuwa nayo hapo awali?Muwe na shukrani.Changamoto yenu hiyo.
Wakatoliki bila kuweka mrija serikalini mambo hayaendiTop Ngo Usaid Recipients (fiscal Years 2013-2022)
1. Catholic Relief Services: $4.6 billion (nonprofit)
2. Chemonics International: $4.5 billion (for-profit)
3. FHI 360: $3.8 billion (nonprofit)
4. Development Alternatives, Inc.: $3 billion (for-profit)
5. ABT Associates, Inc.: $2.6 billion (for-profit)
6. RTI International: $2.3 billion (research institute)
7. John Snow International: $1.8 billion (nonprofit)
8. Save the Children Federation, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)
9. ARD, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)
10. Jhpiego Corporation: $1.3 billion (nonprofit)
11. Deloitte: $1.2 billion (for-profit)
12. World Vision: $1.2 billion (nonprofit)
13. Mercy Corps: $1.1 billion (nonprofit)
14. ADCI/VOCA: $1.1 billion (nonprofit)
15. Population Services International: $1.1 billion (nonprofit)
Source: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/forbes/posts/these-are-the-top-usaid-recipientsfrom-religious-groups-to-major-us-companiesas-/1001106715212652/?locale=pt_PT
Jamaa ndio maana wamepagawa maana sio kwa upigaji huuNilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.
Hizi forms ni kwa ajili ya US NGO. Wewe NGO yako ya Tanzania unajazaje hizo form? Kwani wewe ni US taxpayer? Hapo kwenye form inabidi uingize EIN number ambayo ni sawa na TIN number huku kwetu. Utaipata wapi?Kuna form mbili IRS standard form 1023 na IRS 1023 EZ