inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kabla ya serikali..ya mkoloni siyo serikali?!.. walikua wakipata pesa toka mkoloni mjerumani,agha khan hospital mbona haipewi ruzuku!?Si mjenge na nyie mitego mpate pesa? Hospital zipo hata kabla ya serikali na hata baada ya serikali kuwepo haikuwa ikitoa hata cent, kwa hiyo ulichoandika ni hoja mfu.
Tujenge chuo kikuu wakati vya serikali vipo!?..yesu alijenga vyuo vikuu na hospital,au ni sehemu za kupiga pesa!?Unaendelea kuandika ngano haya baada ya cha msaada mmejenga kipi kingine?
Baada ya wakala wa kanisa kuondoka ikulu mmejenga kipi?
Wakati ikulu ikuwa na waislam mlijenga chuo kikuu kipi?
Ushawahi kutibiwa aga khan? gharama zake unazijua? Unaweza zilinganisha na Bugando, KCMC, Sumve, Sengerema?Kabla ya serikali..ya mkoloni siyo serikali?!.. walikua wakipata pesa toka mkoloni mjerumani,agha khan hospital mbona haipewi ruzuku!?
Cha mhimu Trump ameikata na isirudi Tena ktk jina la YesuNilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.
Kwa akili hizi za kuisubiria serikali halafu bakwata hii mliyoundiwa na ccm iwe na real estates kibao kuliko taasisi yoyote.Tujenge chuo kikuu wakati vya serikali vipo!?..yesu alijenga vyuo vikuu na hospital,au ni sehemu za kupiga pesa!?
Misaada itaendelea kutolewa japo kwa kiwango, namna na taratibu nyingine, kumbuka kuna nchi kutoa msaada huwa wanamaanisha kutoa sadaka na hivyo basi sadaka zaweza kupungua kiasi na pengine kiasi kikubwa, na namna ya kutolewa but si kuokutolewa kabisaaaa.Cha mhimu Trump ameikata na isirudi Tena ktk jina la Yesu
MAOKOTO yalikuwapo mkuu. Ila hao thps sasa ndio walikuwa wanakula maisha!DMO haendi outreach lakini anatulizwa kwanza na 1M ya chai
Huu ujinga upo sanaNilipambana mkuu nilikua na apply USAID Development innovation venture ila cha ajabu kuna mdau mama arusha yeye grants zikitangazwa anaitwa u.s embassy dar anaambiwa oya kuna mtonyo anapewa papers wanamalizana.
Hakuna taasisi ina nyumba nyingi (real estate) kuzidi bakwata nchi hii,halafu imma,sheikh, ustaadh huwa Wana shughuli zao za kuwaingizia vipato,kinachohitajika msikitini ni umeme na maji ambavyo hulipiwa na waumini
Hapa kila mtanzania kafanya kazi mashirika ya marekani na taarifa zq kuiniq zq uongo hakuna anaepita na kusoma akajifunzq kila mtu ni case study/sample hahaaJamaa mwongo sana! Ule mfumo ni wa serikali ya Marekani kujisajili ni bure! Hakuna mahali unalipa Kodi ndiyo utume concept note ni uongo wa mchana kweupe huo!
Nashkue zimefungwaNa zikifika Dar nao wafanye yao, mkoani wafanye yao at last kwa mlengwa mnufaika huko kisokorokwinyo inafika $ 0.5. Ha ha ha this is the world
Real estate ni nini?Tusingependa kuingiza mambo ya udini, tunaharibu mada, lakini hivi Tanzania kulikuwa na kitu kama Real Estate Bakwata ilipoanza? Tunajua Bakwata ilipoanza, tunajua wamiliki wa majengo Tanzania ni nani baada ya Nyerere kutaifisha mali za Wahindi! Lakini nauliza tu Mada haikuwa ya udini hii! Anyway watu tumetofautiana sana!
Gharama za bugando, kcmc zishalalamikiwa sana,zipo' juu ya muhimbili ilhali wanapata ruzuku, serikali ikiweka ruzuku agha khan bei itapungua,hoja hapa ni kwa nini agha khan hawana ruzukuUshawahi kutibiwa aga khan? gharama zake unazijua? Unaweza zilinganisha na Bugando, KCMC, Sumve, Sengerema?
Watanzania wangapi wenye uwezo wa kutibiwa aga khan? lakini Bugando, KCMC, Sumve, Sengerema zinawapokea!
Aga Khan haihudumii wa vipato vya chini kumuona specialist wa dental ni zaidi ya TZS 170,000 per single visit wananchi wangapi wanaweza mudu hiyo gharama?Gharama za bugando, kcmc zishalalamikiwa sana,zipo' juu ya muhimbili ilhali wanapata ruzuku, serikali ikiweka ruzuku agha khan bei itapungua,hoja hapa ni kwa nini agha khan hawana ruzuku
bakwata na wao wafungue hospital zao kupunguza msongamano kcmc, bugando hata sheikh mwaipopo huwausia sana waislam wasome sana wawe na madokta weeengi maana si jambo jema akina mama wa kiislam kuonwa tupu zao na madokta wa kikristo.Gharama za bugando, kcmc zishalalamikiwa sana,zipo' juu ya muhimbili ilhali wanapata ruzuku, serikali ikiweka ruzuku agha khan bei itapungua,hoja hapa ni kwa nini agha khan hawana ruzuku
Iyo miela yote imewatajirisha wachache,haswa hao wakristoTop Ngo Usaid Recipients (fiscal Years 2013-2022)
1. Catholic Relief Services: $4.6 billion (nonprofit)
2. Chemonics International: $4.5 billion (for-profit)
3. FHI 360: $3.8 billion (nonprofit)
4. Development Alternatives, Inc.: $3 billion (for-profit)
5. ABT Associates, Inc.: $2.6 billion (for-profit)
6. RTI International: $2.3 billion (research institute)
7. John Snow International: $1.8 billion (nonprofit)
8. Save the Children Federation, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)
9. ARD, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)
10. Jhpiego Corporation: $1.3 billion (nonprofit)
11. Deloitte: $1.2 billion (for-profit)
12. World Vision: $1.2 billion (nonprofit)
13. Mercy Corps: $1.1 billion (nonprofit)
14. ADCI/VOCA: $1.1 billion (nonprofit)
15. Population Services International: $1.1 billion (nonprofit)
Source: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/forbes/posts/these-are-the-top-usaid-recipientsfrom-religious-groups-to-major-us-companiesas-/1001106715212652/?locale=pt_PT
Bakwata ni chombo cha serikali kudhibiti waislambakwata na wao wafungue hospital zao kupunguza msongamano kcmc, bugando hata sheikh mwaipopo huwausia sana waislam wasome sana wawe na madokta weeengi maana si jambo jema akina mama wa kiislam kuonwa tupu zao na madokta wa kikristo.
Hata wakina Care International Makao makuu ni Marekani huko,Nilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.