Aahahahahahaa hapana, hii ni hulka bila kujali anaishi wapi japo mazingira nayo yana athari zake...That is possible for the woman at least knows what's meaning of love those who living in buza, kwa mtogole ,mwananyamala and like it's illusionππππππ
Aahahahahahaa hapana, hii ni hulka bila kujali anaishi wapi japo mazingira nayo yana athari zake...
Mfano mie nimekulia mbagala maji matitu na kizuiani, na hapa niko mbagala rangi tatu. Ila hulka yangu haijaathiriwa na mazingira, nimejikuta tuu nimezaliwa na hii hulka kama ya kutabasamu..... ever smiling platinum K.
Wewe pika huko....mimi naangalia mpira
Kunyonya muhimu sana, maana huongeza ukaribu baina ya wapendanao...
Halafu Kasie Platinum naomba urekebishe hapo am not a Doctor, bali muuza chips na vidali unakaribishwa sana wewe na dadiii mpate chips na kidali..
Msalimie dadiii π
One need to be artisan for him to be named artist....
Mapenzi ni sanaa.... na hii haimaanishi watu wa Tanga wote ni wasanii....
Vile univalishi ukikaaa vibaya zigo lote nje na ukisimamisha ndio mtihani ambao lazima ufail tu
wanawake wa dar ndio mana hamuishi kuota vitambi.... diet gani inajumuisha mihogo, magimbi, wali, ugali kwenye bakuli moja!? shubakengemiti kabisa
hahahhahahahahhahahhahaha sawa boss naona ulikua unajaza upepo your SEXY PILLOWAahahahahhahaaa tukiwa kitandani haviitwi vitambi bali sexy pillows πππ
Yaani mapenzi yanizidi nikapike!?
Kupika ndio mapenzi?
This is new to me!
Mi najua ni ku-pull out my dick and smash that pvssy shitlessly!
Women can never be satisfied with any gentle treatment!
Smashing is what Iβm after!
Jikoni mtajijua wenyewe!
Kupika?
Heri nikalime nitavuna hela!
Kwanin lkn unatufanyia hivyo KasieAahahahahhahaaa acha kabisa, Dadii akiwa anapika huwa namsumbua sana jikoni hadi anitulize kwanza na kamoja ndo anamalizia kupika, maana huwa situlii.
Mara namuendea, naomba nisaidie kufungua zipu imenishinda nimebanwa...
Mara, nasikia kiu ya madafu, twende tukayatafute...
Mara niimbe na kucheza cheza huku namtekenya... Basi vurugu tuu aahahahahaaa ghafla naona jiko linazimwa halafu shwaaap kamoja tuu, natuliaa na mapishi yanaendelea eeheheheheheheee.
Kasinde P Matata.
Kwan unaweza ukasimamisha tyuuu[emoji39]?bila kuamshwa?
Thats great Kasie platinum, Hakika your brain iko vizuri hujakosea hata cute and great Kasie thats why dadiii alikuona akaamua akutie ndani kabisaAsante ntakaribia hapo kupata chips kidari.
Kuhusu kukuita Doctor, nilitaka nitamke ID yako wakati naku quote.... nikaona ni jina linaloendana na taaluma ya kidaktari. Sina ufahamu sana kuhusu hiyo taaluma ila biology ya olevel ikanifikirisha huyu hadi kachagua hii user name, basi ana wajihi nayo.
Hapo ndo medula oblangata ya Kasie ikasema just call him doctor bila kujua wala kujali shughuli yako au taaluma yako ni ipi.
Kama nimelenga mulemule wee mute tuu, ntalifupisha jina na kukuita Cardio..... mmmhhh au ni maana gym weee eeheheheheheheee
Hii medula blangata ya Kasinde tangu ipate uplatinum ni balaa aahahahahaa
Cheers Cardio.
Platinum Matata.
Ni kweli usemacho ni wachache.....
Kaa na wale roho inaburudika..