This is for you Ticha Jael...

nasubiria harufu ya ush**z* wako sio kwa kupakia huko
 
Sasa huo mwingine ndio wali mtamu, unajua mapishi yana asili na wali mtamu asili yake mashariki ya kati au bara hindi...

Huo wa kuvukisha ni mapishi ya far east kwa jamii za wachina...
 
Saanaa (ila sio akiwa kazini aka Chief, sexy akiwa anapika nyumbani..) yaani hadi huwa naona aibu kwa jinsi Mahaba yanavonifunika.... heheheheheee.
Nna bahati ya kufahamiana na wanaume wajuzi wa mapishi sijui kwa nini....
Sean na mjeda wanakula kwa mama muuza
 
Saafii ndo matunda ya kuoa hayo, mara moja kwa mwaka nawe umsapraisi waifu umkarangizie walau mayai tuu.
Leo wakati natoka kukusanya mamilioni uraiani nimemletea mama yeyooo zawadi ya congo dust na kachori nne.
 
Hapana mwanaume ntamuona boya iwapo tu atashindwa kunikojoza
Hahahah kweli wanawake mnatofautiana, wale mbwa wanusa fedha, wapenda vikojozi mara wengine alimradi awe anajali tu.
 
Sasa huo mwingine ndio wali mtamu, unajua mapishi yana asili na wali mtamu asili yake mashariki ya kati au bara hindi...

Huo wa kuvukisha ni mapishi ya far east kwa jamii za wachina...

Na wewe ni muasisi wa cheche chafuu??

Utanikarangizia one day?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…