Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #61
Kwa mfano mwanaume anapika mkewe anafanya nini? Anaangalia tamthilia? Bachelors kama sisi ndio ukija siku ya kwanza, narudia siku ya kwanza nitapika msosi wangu wewe utakaribishwa kula(sikupikii) ukija mara ya pili utapika tu.
Jamani double R mbona unakuwa hivyooo..... Kwanza utambue hutopika kila siku, pili siku utayopika ni wewe unakuwa umeamua kumbebisha bebi wako na saa ingine inakuwa ni njia ya kuomba mechi yenye manjonjo (maana siku huwa hazifanani, kuna siku mechi inakuwa vionjo kibao na kuna siku mechi inakuwa from one goal keeper to the other, hapa katikati doorooo).
Sasa ukija na vionjo vya kupika it's more of a psychological twist to a women, and only if you have that that kind of a women. Maana mwananke mwingine ataishia kukuudhi tuu na utaunguza kila kitu jikoni na chakula hakitalika na masimango juu aahahahahhaaa, yaani atakukatisha tamaa hutotamani kuingia tena jikoni. Ila ukiwa na mwanamke artist, hutochoka kufanya nae kolabo ya mapishi jikoni, kufua, kupanga nguo kabatini, kufanya usafi wa nyumba au gereji, kutengeneza bustani ya maua au mboga mboga and the like.
Inakuwa hivi double R, ukiwa Unapika babe anakuwa pembeni yako na mnakuwa mnaongea sweet nothing words...
See Kasinde and Dadii preparing veggie salad for dinner.
Inabidi nije nikufunde ili siku ukioa, wifi yangu asipate tabu looh, unaniangusha wee midlif krisis aahahahahhaaaa.
Kasinde Platinum Matata.