This is too much now, hivi ni mapepo au ni hali ya kawaida kwenye utafutaji?

akaniomba nikamsaidie kusimamia mashamba yake ya mpunga ila mwisho wa msimu angenilipa kutokana na mavuno tutayopata,kweli this time Mungu alijalia nikabahatisha 1m.
Nadhani kuna uzoefu chanya ulipata hapa kwenye kilimo cha mpunga ambao unaweza kufanyia kazi kwa shamba lako dogo.

Nyingine ya kujaribu ni hiyo uliyokaribishwa hapo juu na ndege JOHN kwenye kilimo cha ufuta Lindi
 
Kama uko serious mkuu karibu lindi na hio mashine tujaribu kukomaa na ufuta mashamba yapo na kakibanda cha kukaa
Pole kwa changamoto mkuu, mtazamo wangu jaribu kubadili namna unavyoyaona mambo. Kumbuka, hata mambo yawe south kiasi gani ila yapo yatayoenda tu basi jaribu ku hesabu yale yanayoenda na ufurahie hapo moja kwa moja utaanza kuvuta positive energy kisha utaumba mambo mazuri. Tambua kuwa huwa tunaumba ulimwengu wetu sisi wenyewe kulingana na fikra zetu.

Usidanganywe na muonekano wa nje wa mambo, kuna watu tunatembea na magumu sana na si kwamba yameisha hapana, sema ni neema tu tumepata kwa kujifunza kupitia kufeli sana, ukitaka uishi kwa mafanikio leo anza kuipa attention baraka zote ulizonazo na kamwe usiweke attention kwenye failure zako bali jifunze na usonge mbele.
 


KUMB 8: 18

"Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo"


maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri


👉MUNGU hatoi utajiri anatoa Nguvu za kupata utajiri na upande wa pili kule wa giza nao hunatoa Nguvu za kupata utajiri (i.e ukienda kwa mganga hakupi utajiri atakupa Nguvu za kupata utajiri kwa masharti maalum)


👉bila nguvu za kupata utajiri Huwezi kutoboa kwenye hi dunia utakuwa wa kawaida sana na kuishia kupata Pesa za kula na kunywa tu usione mtu anamiliki alot of money lazima kuna nguvu nyuma ya huo utajiri either kutoka kwa MUNGU au kwa Ibilisi na ukitaka kujua Nguvu imetoka wapi check matumizi ya huo utajiri



note: utajiri ni kupata kipato Zaidi ya matumizi Yako
 
Usikate tamaa
1."angalia kwanza Mungu amekupa Baraka kiasi gani" hilo ni moja lakini Pia angalia nikwambie tu "maendeleo yoyote huwa wanayakuja na maumivu aidha wewe mwnyw utaumia na namna moja au au wanaokuzunguka"

2. Badilisha marafiki, hama mazingira unayo kaa ikiwezakana badili Ata unachofanya, fanya kitu kingine

Mimi nilikuwa nasoma PCB nikawa naona
kama napata sifuri Kila mtihani nikajikuta mitihani minne yote ya muhula Nina division zero nilipo ingia fomfive nikaamua
Kubadili combination nikiwa fomsix huwezi amini nilifanikiwa na Chuo nikaenda (Namimi nilikuwaga na imani hizo kuwa nimerogwa lahasha kumbe ni uwezo mdogo tu kwenye yale masomo) nashukuru Mungu hadi Leo Ile combination niliyobadili mpaka Leo imenifanya ni mtu bora. TAKE CARE Ndugu "Mungu pamoja nasi"
 
Uuuuuumbwaaa
 
Ndo utulie sasa.... Tunazungumzia mafanikio, unadhan utajiri pekeake ndo mafanikio???

Kuna taranta, umaarufu n.k (ambavyo hivi hugeuka ngazi ya kupata pesa
 
Kama uko serious mkuu karibu lindi na hio mashine tujaribu kukomaa na ufuta mashamba yapo na kakibanda cha kukaa
Mkuu kwema ? Vipi hapo Lindi Kuna fursa gani kwa sasa nataka nichungulie upepo?
 
Sasa huko lindi si ndo atarogwa? Kama kuna dogo alifaulu la saba tu wakamroga?

Chezea kina Nyau de adriz wewe. Lipo huko lindi linalangua na kubangua korosho halafu chawii balaa.
Oya Mzee Barbarian nakuonya acha kunifuatilia Mzee , halafu Korosho zimekubali na bei serikali imepandisha mwaka huu Allaah kaleta neema watu wa kusini utajiri nje nje , nikurudi tayari nina Maokoto nafanya mchakato wa kwenda Mamtoni ila sio kuogesha vizee kama wewe Kenge Marass.

Dua zako mbaya zimefeli kufaulu mtihani nimefaulu na Kilimo kimekubali Kenge Marass we, usiwe uninatag kwenye upuuzi wako.
 

Thanks master,may God Open our ways
 
Nitajuaje kama vimeharibiwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…