This is too much now, hivi ni mapepo au ni hali ya kawaida kwenye utafutaji?

This is too much now, hivi ni mapepo au ni hali ya kawaida kwenye utafutaji?

Laboratory science and technology diploma
Halafu umeamua kukomaa na kilimo + ufugaji.
Kweli elimu ya bongo NYOSOOO

ila uliposema ""maana nilivukta vimetobolewa kwenye tumbo.""
Huyo alikuwa ni panya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wakuu kwema,naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024.Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi.

Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za kufanikiwa next time.

Baada tu ya kumaliza chuo niliamua nijiajiri kwenye mifugo(ufugaji wa kuku),nikanunua mashine ya kutotolesha mayai(incubator) yenye uwezo wa kutoa vifaranga 120.

Picha linaanza ile tu naweka mayai kwenye mashine TANESCO nao wakatangaza mgao wa siku14,kichwa kikapata moto nikaanza kuhangaika kutafuta sola ili Isaidie mayai yasiharibike,changamoto ikawa hali ya hewa ya sehemu ninapoishi jua ilikuwa inawaka Mara chache Sana.

Mwisho wa siku kwenye mayai 120 nikapata vifaranga kama 25,nikasema so mbaya kwa vile umeme ulisumbua,nikaanza utaratibu wa kuwajengea banda hao vifaranga 25 waliopatikana lakini cha kushangaza siku ya tatu nakuta vifaranga vimeuliwa 20 vimebaki vitano na sikujua nini kiliua kati ya panya na nyoka maana nilivukta vimetobolewa kwenye tumbo.

Sikukata tamaa baada ya muda tena nikasema ngoja nirudie ila awamu hii niliweka mayai 60 kama kawaida TANESCO wakatangaza tena mgao mwisho wa siku nikaishia kupata vifaranga15 navyo vikaja kuiliwa tena,hapo sasa wazo la kuondoka nyumbani likanijia nikiamini kwamba kufanikiwa sehemu ulipozaliwa ni ngumu.

Kuna ndugu yangu akaniambia tulime kitunguu maji huko Sumbawanga kwamba mambo yakienda vizuri eka1 tunaeza pata hadi 4 milioni,nikasema mambo si ndo haya sasa nikatafuta nauli nikaenda ila makubaliano yetu yalikuwa nitoe milioni moja halafu nisaidie kusimamia kwa vile yeye alikuwa mtumishi wa serikali na mwisho wa siku tungewagana ambacho tungejaliwa.

Tulilima ekari 4 tukatumia zaidi ya milioni 4 lakini mambo yalikuwa magumu wadudu walisumbua Sana mwisho hatukupata ata elfu 40,nilihisi kuchanganyikiwa ila nilijikaza na kumwachia Mungu. Hii ilikuwa 2020 mwishoni nikarudi nyumbani kinyonge ila baada ya kutiwaa moyo sana nyumbani,

2021 huyu ndugu yangu nilielima naye kitunguu tukafeli akaniomba nikamsaidie kusimamia mashamba yake ya mpunga ila mwisho wa msimu angenilipa kutokana na mavuno tutayopata,kweli this time Mungu alijalia nikabahatisha 1 milion.

Naomba niishie hapa naweka portion ya2 kwenye comments saivi ili nisiwachoshe sana.
Hijarogwa ... Kila kitu kina utaalamu wake shirikisha wafugaji na madactari wa Mifugo wakupe ABCs za ufugaji kuku na jinsi ya kujenga mabanda ..wapo wanahusika na usukaji wa mabanda tu kuku wako watakuwa salama.

Kwenye Kilimo wapo maafisa kilimo ungewashirikisha wakakupa madawa ya kupulizia na kwa awamu ipi yaani muda gani ...

Mchawi wako ni wewe mwenyewe yaani "Ujinga wako" kwa kutotafuta ushauri kwa wahusika sahihi .. unafata mkumbo wa motivational speakers ..😂
 
Ndo utulie sasa.... Tunazungumzia mafanikio, unadhan utajiri pekeake ndo mafanikio???

Kuna taranta, umaarufu n.k (ambavyo hivi hugeuka ngazi ya kupata pesa

MKUU ukiona nimekuja kwa nadharia hi ya kupata utajiri kwa Nguvu za MUNGU ujue inahitaji kwanza mafanikio ya NDANI ( i.e mafanikio ya KIROHO) And then mafanikio ya NDANI huakisiwa au hudhihirika nje (i.e mafanikio ya vitu)

Ninaafiki kwa 100% Mkuu kwamba kupata vitu vya mwili Kama fedha na mali pekee Sio mafanikio dhabiti na mwisho wake huwa ni mbaya b'se mpumbavu akifanikiwa huangamia

Mithali 1:32

".................Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza"

Kwa tafsiri rahisi mpumbavu ni mtu asie kuwa na uwepo wa MUNGU NDANI yake

3 Yohana 1.2

"Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo"

kama vile roho yako ifanikiwavyo👉 mafanikio thabiti na ya haki na ya kudumu yanaanzia Rohoni and then Ndio huja kuwa reflected mwilini Yaani kwa vitu

MUNGU akitaka kukufanikisha lazima atakufanikisha kwanza NDANI then Hayo mengine Ndio hufuata yenyewe automatically
 
Wakuu kwema, naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024. Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi.

Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za kufanikiwa next time.

Baada tu ya kumaliza chuo niliamua nijiajiri kwenye mifugo(ufugaji wa kuku), nikanunua mashine ya kutotolesha mayai(incubator) yenye uwezo wa kutoa vifaranga 120.

Picha linaanza ile tu naweka mayai kwenye mashine TANESCO nao wakatangaza mgao wa siku14, kichwa kikapata moto nikaanza kuhangaika kutafuta sola ili isaidie mayai yasiharibike, changamoto ikawa hali ya hewa ya sehemu ninapoishi jua ilikuwa inawaka Mara chache Sana.

Mwisho wa siku kwenye mayai 120 nikapata vifaranga kama 25, nikasema so mbaya kwa vile umeme ulisumbua, nikaanza utaratibu wa kuwajengea banda hao vifaranga 25 waliopatikana lakini cha kushangaza siku ya tatu nakuta vifaranga vimeuliwa 20 vimebaki vitano na sikujua nini kiliua kati ya panya na nyoka maana nilikuta vimetobolewa kwenye tumbo.

Sikukata tamaa baada ya muda tena nikasema ngoja nirudie ila awamu hii niliweka mayai 60 kama kawaida TANESCO wakatangaza tena mgao mwisho wa siku nikaishia kupata vifaranga 15 navyo vikaja kuiliwa tena, hapo sasa wazo la kuondoka nyumbani likanijia nikiamini kwamba kufanikiwa sehemu ulipozaliwa ni ngumu.

Kuna ndugu yangu akaniambia tulime kitunguu maji huko Sumbawanga kwamba mambo yakienda vizuri eka 1 tunaeza pata hadi 4 milioni, nikasema mambo si ndo haya sasa, nikatafuta nauli nikaenda ila makubaliano yetu yalikuwa nitoe milioni moja halafu nisaidie kusimamia kwa vile yeye alikuwa mtumishi wa Serikali na mwisho wa siku tungewagana ambacho tungejaliwa.

Tulilima ekari 4 tukatumia zaidi ya milioni 4 lakini mambo yalikuwa magumu, wadudu walisumbua sana mwisho hatukupata hata elfu 40, nilihisi kuchanganyikiwa ila nilijikaza na kumwachia Mungu. Hii ilikuwa 2020 mwishoni nikarudi nyumbani kinyonge ila baada ya kutiwaa moyo sana nyumbani.

2021 huyu ndugu yangu nilielima naye kitunguu tukafeli akaniomba nikamsaidie kusimamia mashamba yake ya mpunga ila mwisho wa msimu angenilipa kutokana na mavuno tutayopata, kweli this time Mungu alijalia nikabahatisha 1 milion.

Naomba niishie hapa naweka portion ya 2 kwenye comments sasahivi ili nisiwachoshe sana.
KATIKA HII EPISODE MOJA ULOTOA KUNA MAMBO KADHAA NIMEYANOTICE KWAKO NA YAWEZEKANA NDO CHANZO CHA KUFELI KWAKO JAPO KUFELI NI SWALA LA KAWAIDA.

1. UNAKURUPUKA, HAUJIPI MUDA KUFANYA RESEARCH YA KUTOSHA NA KUPATA INFO ZA KUTOSHA KABLA YA KUAMUA KIFANYA PROJECT, M.F :- UMESEMA HALI YA HEWA ILIATHIRI UTOTOLESHAJI NA UKUZAJI WA VIFARANGA, HOW DARE YOU TRYNADOING A TING LIKE DAT BILA KUJUA NI HALI IPI YA HEWA INAFAA KWA KAZI YAKO?
- UMESEMA UKANUNUA TENA VIFARANGA WENGINE 60 THEN TANESCO NA HUYO MNYAMA MUARIBIFU AKAWALA TENA, SHIT... HOW DARE YOU REPEAT NA DOING DA TEM MISTAKE WHILE YOU HAVE ALREADY NOTICED DAT SOMETHING IS NO'RIGHT OVER THERE. BILA KUFANYA UTAFITI JUU YA NINI KILIKULA VIFARANGA WA MWANZO WEWE UKARUDIA KUWEKA TENA VIFARANGA.

THEN YOU STEPPED IN STARTING A NEW PROJECT YA VITUNGUU AFTER YOU HEARD MERE WORDS DAT DE PROJECT IS GUDO BILA KUFANYA RESEARCH YA MAANA UKAAMUA KUINVEST PASIPO KUJUA CHANGAMOTO AMBAZO UNAWEZA KUKUTANA NAZO.

UNAKURUPUKA CHARII YANGU
 
Mkuu malizia story kwanza hapa JF wapo wachawi ,wachamungu na wapaagani na wanasaikolojia watatoa mapendekezo
 
Halafu umeamua kukomaa na kilimo + ufugaji.
Kweli elimu ya bongo NYOSOOO

ila uliposema ""maana nilivukta vimetobolewa kwenye tumbo.""
Huyo alikuwa ni panya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yeah, lazima alikua panya
 
Nje ndani ya mada : Usimpe mtu asimamie biashara, shamba au mali yako yoyote ikiwa na roho ya kuzaa mapooza. Hata duka likuwa limejaa mpaka nje ukimweka huyo mtu litafilisika mpaka pesa ya kula itakuchenga.
Upo sahihi mkuu
 
KATIKA HII EPISODE MOJA ULOTOA KUNA MAMBO KADHAA NIMEYANOTICE KWAKO NA YAWEZEKANA NDO CHANZO CHA KUFELI KWAKO JAPO KUFELI NI SWALA LA KAWAIDA.

1. UNAKURUPUKA, HAUJIPI MUDA KUFANYA RESEARCH YA KUTOSHA NA KUPATA INFO ZA KUTOSHA KABLA YA KUAMUA KIFANYA PROJECT, M.F :- UMESEMA HALI YA HEWA ILIATHIRI UTOTOLESHAJI NA UKUZAJI WA VIFARANGA, HOW DARE YOU TRYNADOING A TING LIKE DAT BILA KUJUA NI HALI IPI YA HEWA INAFAA KWA KAZI YAKO?
- UMESEMA UKANUNUA TENA VIFARANGA WENGINE 60 THEN TANESCO NA HUYO MNYAMA MUARIBIFU AKAWALA TENA, SHIT... HOW DARE YOU REPEAT NA DOING DA TEM MISTAKE WHILE YOU HAVE ALREADY NOTICED DAT SOMETHING IS NO'RIGHT OVER THERE. BILA KUFANYA UTAFITI JUU YA NINI KILIKULA VIFARANGA WA MWANZO WEWE UKARUDIA KUWEKA TENA VIFARANGA.

THEN YOU STEPPED IN STARTING A NEW PROJECT YA VITUNGUU AFTER YOU HEARD MERE WORDS DAT DE PROJECT IS GUDO BILA KUFANYA RESEARCH YA MAANA UKAAMUA KUINVEST PASIPO KUJUA CHANGAMOTO AMBAZO UNAWEZA KUKUTANA NAZO.

UNAKURUPUKA CHARII YANGU
WE LEARN FROM mistakes mkuu
 
Kwenye kila jambo kufeli ni rahisi kuliko kufaulu. Cha msingi ni kujua ni wapi ulikwama na ni nini kilikukwamisha ili uboreshe zaidi, mara nyingi vifaranga wadogo hushambuliwa na panya na hupenda kukata shingo au kutoboa macho. Kuhusu kilimo huku ni rahisi kufeli ni rahisi pia kufaulu hasa ukizingatia kanuni za kilimo na maandalizi ya mapema. Inahitajika nguvu kubwa na akili nyingi sana kuthibiti mmea kwa mbolea na madawa na palizi hasa kwenye hatua za mwanzo ukifanya hivyo kilimo utatoboa haraka sana na wanaokuzunguka watakuona mchawi.
 
Kila siku tunasema mafanikio huanzia ulimwengu wa kiroho baadae ndo ulimwengu wetu huu....... Usipoijua hii formula hutoboi

Ulimwengu wa kiroho umegawanyika sehemu mbili tu
A.Mungu
B.Shetani

Sasa ili ufanikiwe kirahisi lazima ujiweke kikamilifu upande wowote kati ya hizo side mbili, elewa neno kikamilifu 🤝

Ukitaka kubaki katikati lazima uwe msindikizaji.... Fanya maamuzi chagua upande mmoja hapo utaona effect yake
Hz mambo kila mara nakutana nazo humu jf,ila naamin nimekaribia kwenda kwa shetani nione inakuwaje,maana unashangaa unapambana sana afu hakuna jipya afu kuna wajinga wana kitega uchumi kimoja na hakiingizi zaidi ya elfu 20 kwa siku lakin wanaweza mpaka kujenga
 
Back
Top Bottom