This is too much now, hivi ni mapepo au ni hali ya kawaida kwenye utafutaji?

This is too much now, hivi ni mapepo au ni hali ya kawaida kwenye utafutaji?

Nadhani kuna uzoefu chanya ulipata hapa kwenye kilimo cha mpunga ambao unaweza kufanyia kazi kwa shamba lako dogo.

Nyingine ya kujaribu ni hiyo uliyokaribishwa hapo juu na ndege JOHN kwenye kilimo cha ufuta Lindi
Ndio mkuu na uzoefu kiasi but Now nipo vibaya
 
Usikate tamaa
1."angalia kwanza Mungu amekupa Baraka kiasi gani" hilo ni moja lakini Pia angalia nikwambie tu "maendeleo yoyote huwa wanayakuja na maumivu aidha wewe mwnyw utaumia na namna moja au au wanaokuzunguka"

2. Badilisha marafiki, hama mazingira unayo kaa ikiwezakana badili Ata unachofanya, fanya kitu kingine

Mimi nilikuwa nasoma PCB nikawa naona
kama napata sifuri Kila mtihani nikajikuta mitihani minne yote ya muhula Nina division zero nilipo ingia fomfive nikaamua
Kubadili combination nikiwa fomsix huwezi amini nilifanikiwa na Chuo nikaenda (Namimi nilikuwaga na imani hizo kuwa nimerogwa lahasha kumbe ni uwezo mdogo tu kwenye yale masomo) nashukuru Mungu hadi Leo Ile combination niliyobadili mpaka Leo imenifanya ni mtu bora. TAKE CARE Ndugu "Mungu pamoja nasi"
Amen sister,be blessed
 
Wakuu kwema,naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024.Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi.

Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za kufanikiwa next time.

Baada tu ya kumaliza chuo niliamua nijiajiri kwenye mifugo(ufugaji wa kuku),nikanunua mashine ya kutotolesha mayai(incubator) yenye uwezo wa kutoa vifaranga 120.

Picha linaanza ile tu naweka mayai kwenye mashine TANESCO nao wakatangaza mgao wa siku14,kichwa kikapata moto nikaanza kuhangaika kutafuta sola ili Isaidie mayai yasiharibike,changamoto ikawa hali ya hewa ya sehemu ninapoishi jua ilikuwa inawaka Mara chache Sana.

Mwisho wa siku kwenye mayai 120 nikapata vifaranga kama 25,nikasema so mbaya kwa vile umeme ulisumbua,nikaanza utaratibu wa kuwajengea banda hao vifaranga 25 waliopatikana lakini cha kushangaza siku ya tatu nakuta vifaranga vimeuliwa 20 vimebaki vitano na sikujua nini kiliua kati ya panya na nyoka maana nilivukta vimetobolewa kwenye tumbo.

Sikukata tamaa baada ya muda tena nikasema ngoja nirudie ila awamu hii niliweka mayai 60 kama kawaida TANESCO wakatangaza tena mgao mwisho wa siku nikaishia kupata vifaranga15 navyo vikaja kuiliwa tena,hapo sasa wazo la kuondoka nyumbani likanijia nikiamini kwamba kufanikiwa sehemu ulipozaliwa ni ngumu.

Kuna ndugu yangu akaniambia tulime kitunguu maji huko Sumbawanga kwamba mambo yakienda vizuri eka1 tunaeza pata hadi 4 milioni,nikasema mambo si ndo haya sasa nikatafuta nauli nikaenda ila makubaliano yetu yalikuwa nitoe milioni moja halafu nisaidie kusimamia kwa vile yeye alikuwa mtumishi wa serikali na mwisho wa siku tungewagana ambacho tungejaliwa.

Tulilima ekari 4 tukatumia zaidi ya milioni 4 lakini mambo yalikuwa magumu wadudu walisumbua Sana mwisho hatukupata ata elfu 40,nilihisi kuchanganyikiwa ila nilijikaza na kumwachia Mungu. Hii ilikuwa 2020 mwishoni nikarudi nyumbani kinyonge ila baada ya kutiwaa moyo sana nyumbani,

2021 huyu ndugu yangu nilielima naye kitunguu tukafeli akaniomba nikamsaidie kusimamia mashamba yake ya mpunga ila mwisho wa msimu angenilipa kutokana na mavuno tutayopata,kweli this time Mungu alijalia nikabahatisha 1 milion.

Naomba niishie hapa naweka portion ya2 kwenye comments saivi ili nisiwachoshe sana.
Issue bdo ujajua destiny ya maisha yako tuliza akili mjomba unashka iki mara ukimbilie ilki fanya kitu kwa bdii ambayo ww unaipenda syo uwambiwe kilmo inalipa unakmbza miguu yote fanya research yako ujue changamoto soko alaf usumbue ubongo je kituu nimara ya kwanza kulima demand yake ipoje fkria kwanza mkuu no kuruka kuruka kwny maisha ila kaza kwa kujikubal
 
Asante mkuu,this time inabidi nianze from zero
 
Naona umeandika vitu vya kawaida sana kwenye utafutaji,,,,na wadau wanakupa moyo sana,…. Hebu weka muendelezo kwanza ndio tukuambie na badooo 😅😅😅😅
 
Mimi nilianza na stationary nikapoteza nikaenda kwenye kufungua studio mtaji nikapewa nyumbani bado nikafeli uzuri nilikuwa na assert nikauza vitu vyo studio nikaanza umachinga mbezi mwisho sijui nini kilitokea nikajikuta pesa yote inaishia kula na kulipa kodi ya chumba nikamaliza mtaji mzima ikabidi nirudi nyumban kwanza nitulize akili kwanza,
 
Naona umeandika vitu vya kawaida sana kwenye utafutaji,,,,na wadau wanakupa moyo sana,…. Hebu weka muendelezo kwanza ndio tukuambie na badooo 😅😅😅😅
Sawa mkuu ngoja nimalizie huenda na Wewe ukanipa pole,sijui kwanini Watu wananioneaga huruma sana
 
Mimi nilianza na stationary nikapoteza nikaenda kwenye kufungua studio mtaji nikapewa nyumbani bado nikafeli uzuri nilikuwa na assert nikauza vitu vyo studio nikaanza umachinga mbezi mwisho sijui nini kilitokea nikajikuta pesa yote inaishia kula na kulipa kodi ya chumba nikamaliza mtaji mzima ikabidi nirudi nyumban kwanza nitulize akili kwanza,
Pole mkuu,hapo utakuta watu wanaanza kusema una honga,unabeti na unalewa Sana
 
Oya Mzee Barbarian nakuonya acha kunifuatilia Mzee , halafu Korosho zimekubali na bei serikali imepandisha mwaka huu Allaah kaleta neema watu wa kusini utajiri nje nje , nikurudi tayari nina Maokoto nafanya mchakato wa kwenda Mamtoni ila sio kuogesha vizee kama wewe Kenge Marass.

Dua zako mbaya zimefeli kufaulu mtihani nimefaulu na Kilimo kimekubali Kenge Marass we, usiwe uninatag kwenye upuuzi wako.
Mkuu huyo jamaa bifu lilianzia wapi kwan mnajuana nje ya jukwaani
 
Oya Mzee Barbarian nakuonya acha kunifuatilia Mzee , halafu Korosho zimekubali na bei serikali imepandisha mwaka huu Allaah kaleta neema watu wa kusini utajiri nje nje , nikurudi tayari nina Maokoto nafanya mchakato wa kwenda Mamtoni ila sio kuogesha vizee kama wewe Kenge Marass.

Dua zako mbaya zimefeli kufaulu mtihani nimefaulu na Kilimo kimekubali Kenge Marass we, usiwe uninatag kwenye upuuzi wako.
Oyaa bwana mdogo nyau de adriz sawa unabahati umefaulu huo mtihani na kilimo. Sasa nakuhakikishia kamwe hutaoa binti wa kiarabu. Amini nakuambia nyau wewee.
 
Back
Top Bottom