Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Halafu umeamua kukomaa na kilimo + ufugaji.Laboratory science and technology diploma
Hijarogwa ... Kila kitu kina utaalamu wake shirikisha wafugaji na madactari wa Mifugo wakupe ABCs za ufugaji kuku na jinsi ya kujenga mabanda ..wapo wanahusika na usukaji wa mabanda tu kuku wako watakuwa salama.Wakuu kwema,naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024.Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi.
Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za kufanikiwa next time.
Baada tu ya kumaliza chuo niliamua nijiajiri kwenye mifugo(ufugaji wa kuku),nikanunua mashine ya kutotolesha mayai(incubator) yenye uwezo wa kutoa vifaranga 120.
Picha linaanza ile tu naweka mayai kwenye mashine TANESCO nao wakatangaza mgao wa siku14,kichwa kikapata moto nikaanza kuhangaika kutafuta sola ili Isaidie mayai yasiharibike,changamoto ikawa hali ya hewa ya sehemu ninapoishi jua ilikuwa inawaka Mara chache Sana.
Mwisho wa siku kwenye mayai 120 nikapata vifaranga kama 25,nikasema so mbaya kwa vile umeme ulisumbua,nikaanza utaratibu wa kuwajengea banda hao vifaranga 25 waliopatikana lakini cha kushangaza siku ya tatu nakuta vifaranga vimeuliwa 20 vimebaki vitano na sikujua nini kiliua kati ya panya na nyoka maana nilivukta vimetobolewa kwenye tumbo.
Sikukata tamaa baada ya muda tena nikasema ngoja nirudie ila awamu hii niliweka mayai 60 kama kawaida TANESCO wakatangaza tena mgao mwisho wa siku nikaishia kupata vifaranga15 navyo vikaja kuiliwa tena,hapo sasa wazo la kuondoka nyumbani likanijia nikiamini kwamba kufanikiwa sehemu ulipozaliwa ni ngumu.
Kuna ndugu yangu akaniambia tulime kitunguu maji huko Sumbawanga kwamba mambo yakienda vizuri eka1 tunaeza pata hadi 4 milioni,nikasema mambo si ndo haya sasa nikatafuta nauli nikaenda ila makubaliano yetu yalikuwa nitoe milioni moja halafu nisaidie kusimamia kwa vile yeye alikuwa mtumishi wa serikali na mwisho wa siku tungewagana ambacho tungejaliwa.
Tulilima ekari 4 tukatumia zaidi ya milioni 4 lakini mambo yalikuwa magumu wadudu walisumbua Sana mwisho hatukupata ata elfu 40,nilihisi kuchanganyikiwa ila nilijikaza na kumwachia Mungu. Hii ilikuwa 2020 mwishoni nikarudi nyumbani kinyonge ila baada ya kutiwaa moyo sana nyumbani,
2021 huyu ndugu yangu nilielima naye kitunguu tukafeli akaniomba nikamsaidie kusimamia mashamba yake ya mpunga ila mwisho wa msimu angenilipa kutokana na mavuno tutayopata,kweli this time Mungu alijalia nikabahatisha 1 milion.
Naomba niishie hapa naweka portion ya2 kwenye comments saivi ili nisiwachoshe sana.
Kwa kutumia cheti chako fungua kijiwe ..maabaraLaboratory science and technology diploma
Ndo utulie sasa.... Tunazungumzia mafanikio, unadhan utajiri pekeake ndo mafanikio???
Kuna taranta, umaarufu n.k (ambavyo hivi hugeuka ngazi ya kupata pesa
Kila kher mkuu 👍🏻Asante mkuu,this time inabidi nianze from zero
KATIKA HII EPISODE MOJA ULOTOA KUNA MAMBO KADHAA NIMEYANOTICE KWAKO NA YAWEZEKANA NDO CHANZO CHA KUFELI KWAKO JAPO KUFELI NI SWALA LA KAWAIDA.Wakuu kwema, naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024. Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi.
Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za kufanikiwa next time.
Baada tu ya kumaliza chuo niliamua nijiajiri kwenye mifugo(ufugaji wa kuku), nikanunua mashine ya kutotolesha mayai(incubator) yenye uwezo wa kutoa vifaranga 120.
Picha linaanza ile tu naweka mayai kwenye mashine TANESCO nao wakatangaza mgao wa siku14, kichwa kikapata moto nikaanza kuhangaika kutafuta sola ili isaidie mayai yasiharibike, changamoto ikawa hali ya hewa ya sehemu ninapoishi jua ilikuwa inawaka Mara chache Sana.
Mwisho wa siku kwenye mayai 120 nikapata vifaranga kama 25, nikasema so mbaya kwa vile umeme ulisumbua, nikaanza utaratibu wa kuwajengea banda hao vifaranga 25 waliopatikana lakini cha kushangaza siku ya tatu nakuta vifaranga vimeuliwa 20 vimebaki vitano na sikujua nini kiliua kati ya panya na nyoka maana nilikuta vimetobolewa kwenye tumbo.
Sikukata tamaa baada ya muda tena nikasema ngoja nirudie ila awamu hii niliweka mayai 60 kama kawaida TANESCO wakatangaza tena mgao mwisho wa siku nikaishia kupata vifaranga 15 navyo vikaja kuiliwa tena, hapo sasa wazo la kuondoka nyumbani likanijia nikiamini kwamba kufanikiwa sehemu ulipozaliwa ni ngumu.
Kuna ndugu yangu akaniambia tulime kitunguu maji huko Sumbawanga kwamba mambo yakienda vizuri eka 1 tunaeza pata hadi 4 milioni, nikasema mambo si ndo haya sasa, nikatafuta nauli nikaenda ila makubaliano yetu yalikuwa nitoe milioni moja halafu nisaidie kusimamia kwa vile yeye alikuwa mtumishi wa Serikali na mwisho wa siku tungewagana ambacho tungejaliwa.
Tulilima ekari 4 tukatumia zaidi ya milioni 4 lakini mambo yalikuwa magumu, wadudu walisumbua sana mwisho hatukupata hata elfu 40, nilihisi kuchanganyikiwa ila nilijikaza na kumwachia Mungu. Hii ilikuwa 2020 mwishoni nikarudi nyumbani kinyonge ila baada ya kutiwaa moyo sana nyumbani.
2021 huyu ndugu yangu nilielima naye kitunguu tukafeli akaniomba nikamsaidie kusimamia mashamba yake ya mpunga ila mwisho wa msimu angenilipa kutokana na mavuno tutayopata, kweli this time Mungu alijalia nikabahatisha 1 milion.
Naomba niishie hapa naweka portion ya 2 kwenye comments sasahivi ili nisiwachoshe sana.
Yeah, lazima alikua panyaHalafu umeamua kukomaa na kilimo + ufugaji.
Kweli elimu ya bongo NYOSOOO
ila uliposema ""maana nilivukta vimetobolewa kwenye tumbo.""
Huyo alikuwa ni panya.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Upo sahihi mkuuNje ndani ya mada : Usimpe mtu asimamie biashara, shamba au mali yako yoyote ikiwa na roho ya kuzaa mapooza. Hata duka likuwa limejaa mpaka nje ukimweka huyo mtu litafilisika mpaka pesa ya kula itakuchenga.
WE LEARN FROM mistakes mkuuKATIKA HII EPISODE MOJA ULOTOA KUNA MAMBO KADHAA NIMEYANOTICE KWAKO NA YAWEZEKANA NDO CHANZO CHA KUFELI KWAKO JAPO KUFELI NI SWALA LA KAWAIDA.
1. UNAKURUPUKA, HAUJIPI MUDA KUFANYA RESEARCH YA KUTOSHA NA KUPATA INFO ZA KUTOSHA KABLA YA KUAMUA KIFANYA PROJECT, M.F :- UMESEMA HALI YA HEWA ILIATHIRI UTOTOLESHAJI NA UKUZAJI WA VIFARANGA, HOW DARE YOU TRYNADOING A TING LIKE DAT BILA KUJUA NI HALI IPI YA HEWA INAFAA KWA KAZI YAKO?
- UMESEMA UKANUNUA TENA VIFARANGA WENGINE 60 THEN TANESCO NA HUYO MNYAMA MUARIBIFU AKAWALA TENA, SHIT... HOW DARE YOU REPEAT NA DOING DA TEM MISTAKE WHILE YOU HAVE ALREADY NOTICED DAT SOMETHING IS NO'RIGHT OVER THERE. BILA KUFANYA UTAFITI JUU YA NINI KILIKULA VIFARANGA WA MWANZO WEWE UKARUDIA KUWEKA TENA VIFARANGA.
THEN YOU STEPPED IN STARTING A NEW PROJECT YA VITUNGUU AFTER YOU HEARD MERE WORDS DAT DE PROJECT IS GUDO BILA KUFANYA RESEARCH YA MAANA UKAAMUA KUINVEST PASIPO KUJUA CHANGAMOTO AMBAZO UNAWEZA KUKUTANA NAZO.
UNAKURUPUKA CHARII YANGU
Hz mambo kila mara nakutana nazo humu jf,ila naamin nimekaribia kwenda kwa shetani nione inakuwaje,maana unashangaa unapambana sana afu hakuna jipya afu kuna wajinga wana kitega uchumi kimoja na hakiingizi zaidi ya elfu 20 kwa siku lakin wanaweza mpaka kujengaKila siku tunasema mafanikio huanzia ulimwengu wa kiroho baadae ndo ulimwengu wetu huu....... Usipoijua hii formula hutoboi
Ulimwengu wa kiroho umegawanyika sehemu mbili tu
A.Mungu
B.Shetani
Sasa ili ufanikiwe kirahisi lazima ujiweke kikamilifu upande wowote kati ya hizo side mbili, elewa neno kikamilifu 🤝
Ukitaka kubaki katikati lazima uwe msindikizaji.... Fanya maamuzi chagua upande mmoja hapo utaona effect yake