This is Zambia not Tanzania. Walotumwa kuharibu Uchaguzi Wafukuzwa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania.

Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza mifumo yao.

"Zambia si Tanzania," alisema kwa msisitizo huku akieleza kuwa kila nchi ina utaratibu wake wa uongozi na maisha ya kijamii ambao unapaswa kuheshimiwa na kila mtu anayeishi hapo.

Baada ya kuongea hivyo, Polisi wamezingira nyumba yake kama ilivyokuwa kwa Askofu Josephat Gwajima. Mbinu zilezile za kihuni za kizamani za bridi.

MY TAKE
CCM iache kuendekeza ugaidi Nchi za watu. Iache kuharibu chaguzi za Nchi Nyingine. Aibu kwa Samia Suluhu alowatuma kufitinisha Wazambia.

Sifa ya Tanzania sasa ishabadilika. Imekuwa Nchi ya kuchochea mauaji si ukombozi tena.

Brian Muntayalwa Mundubile amekataa huo upuuzi wa Watanzania
 
Video inannisumbua kupandisha
Tanzania imepoteza sifa zake na heshima yake kwa kiasi kikubwa sana
 
Tanzania heshima yake haiwezi kushushwa na mpuuzi km huyo, nchi yetu iko juu sana ndiyo maana viongozi wakuu wa.nchi wanapishana kuja nchini mwetu, mwaka huu tu mpaka sasa wameshakuja marais wengi. Apambane na hali yake asitafute mchawi
 
We ni shoga lisilojielewa, kwani Tanzania ndiyo inasimamia uchaguzi wa Zambia? Huyo mbwa ni mgombe tu ana uwezo gani wa kuwafukuza watanzania? Huyo amepanic na hafai maana hajui kuituhumu nchi nyingine bila hata ushahidi ni kosa kubwa. Ana chuki na mpaka hapo hafai kuwa Rais wa nchi! Ni mropokaji! Halafu wafuasi wa chadema ni km mazuzu wanafikiri huo upuuzi utawasaidia! Nyie ni viumbe waliokata tamaa mnaokoteza kila upuuzi

Why chadema and not chauma? Au cuf?
 
Tanzania heshima yake haiwezi kushushwa na mpuuzi km huyo, nchi yetu iko juu sana ndiyo maana viongozi wakuu wa.nchi wanapishana kuja nchini mwetu, mwaka huu tu mpaka sasa wameshakuja marais wengi. Apambane na hali yake asitafute mchawi
wee ni kichaa
 
Wewe akili hauna kichwani kumejaa matope
 
Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania.

Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza mifumo yao.

"Zambia si Tanzania," alisema kwa msisitizo huku akieleza kuwa kila nchi ina utaratibu wake wa uongozi na maisha ya kijamii ambao unapaswa kuheshimiwa na kila mtu anayeishi hapo.

Baada ya kuongea hivyo, Polisi wamezingira nyumba yake kama ilivyokuwa kwa Askofu Josephat Gwajima. Mbinu zilezile za kihuni za kizamani za bridi.

MY TAKE
CCM iache kuendekeza ugaidi Nchi za watu. Iache kuharibu chaguzi za Nchi Nyingine. Aibu kwa Samia Suluhu alowatuma kufitinisha Wazambia.

Sifa ya Tanzania sasa ishabadilika. Imekuwa Nchi ya kuchochea mauaji si ukombozi tena.

Brian Muntayalwa Mundubile amekataa huo upuuzi wa Watanzania
View attachment 3650659
Ni aibu.Nini kifanyike?
 
We ni shoga lisilojielewa, kwani Tanzania ndiyo inasimamia uchaguzi wa Zambia? Huyo mbwa ni mgombe tu ana uwezo gani wa kuwafukuza watanzania? Huyo amepanic na hafai maana hajui kuituhumu nchi nyingine bila hata ushahidi ni kosa kubwa. Ana chuki na mpaka hapo hafai kuwa Rais wa nchi! Ni mropokaji! Halafu wafuasi wa chadema ni km mazuzu wanafikiri huo upuuzi utawasaidia! Nyie ni viumbe waliokata tamaa mnaokoteza kila upuuzi
Wewe jamaa sidhani kama una elimu hata ya form four. Unashindwa hata kusoma “between the lines”. Huyo mwamba anaongelea figuratively kuwa Tanzania kuna ubakaji wa demokrasia. Tanzania uchaguzi unaporwa na ccm. So what don’t you understand here. Una makasiriko ya kipumbavu wewe *****
 
We ni shoga lisilojielewa, kwani Tanzania ndiyo inasimamia uchaguzi wa Zambia? Huyo mbwa ni mgombe tu ana uwezo gani wa kuwafukuza watanzania? Huyo amepanic na hafai maana hajui kuituhumu nchi nyingine bila hata ushahidi ni kosa kubwa. Ana chuki na mpaka hapo hafai kuwa Rais wa nchi! Ni mropokaji! Halafu wafuasi wa chadema ni km mazuzu wanafikiri huo upuuzi utawasaidia! Nyie ni viumbe waliokata tamaa mnaokoteza kila upuuzi
Mbona tanzania iliituhumu Kenya? Au ndio ule msemo Kunya anye kuku akinya Bata kaharisha. Ninyi kuituhumu Kenya ilikuwa sawa, ila ninyi kutuhumiwa na Zambia ni kosa.
 
Tanzania heshima yake haiwezi kushushwa na mpuuzi km huyo, nchi yetu iko juu sana ndiyo maana viongozi wakuu wa.nchi wanapishana kuja nchini mwetu, mwaka huu tu mpaka sasa wameshakuja marais wengi. Apambane na hali yake asitafute mchawi
Ishuke mara ngapi kama tumekuwa sehemu ya mazungumzo huko baraza la umoja wa Ulaya, jumuiya ya madola kisha baraza la seneti la Marekani bado unasema tuko na ile heshima (status quo) aliyotuachia Mwalimu Nyerere ?
 
Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania.

Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza mifumo yao.

"Zambia si Tanzania," alisema kwa msisitizo huku akieleza kuwa kila nchi ina utaratibu wake wa uongozi na maisha ya kijamii ambao unapaswa kuheshimiwa na kila mtu anayeishi hapo.

Baada ya kuongea hivyo, Polisi wamezingira nyumba yake kama ilivyokuwa kwa Askofu Josephat Gwajima. Mbinu zilezile za kihuni za kizamani za bridi.

MY TAKE
CCM iache kuendekeza ugaidi Nchi za watu. Iache kuharibu chaguzi za Nchi Nyingine. Aibu kwa Samia Suluhu alowatuma kufitinisha Wazambia.

Sifa ya Tanzania sasa ishabadilika. Imekuwa Nchi ya kuchochea mauaji si ukombozi tena.

Brian Muntayalwa Mundubile amekataa huo upuuzi wa Watanzania
View attachment 3650659
Uchaguzi wa Zambia inalaumiwa ccm. Hivi nyie manyumbu mna akili kweli?!!!!!
 
Back
Top Bottom