This is Zambia not Tanzania. Walotumwa kuharibu Uchaguzi Wafukuzwa

This is Zambia not Tanzania. Walotumwa kuharibu Uchaguzi Wafukuzwa

Uchaguzi wa Zambia inalaumiwa ccm. Hivi nyie manyumbu mna akili kweli?!!!!!
Tuwe wa kweli tu kimsingi kabisa kati ya wewe na huyo aliyesema hapo nani yupo Zambia nani anayegombea Urais na intelligence ya kiasi gani, anayajua mangapi hadi sasa?

Wa Tanzania tupunguze ujuaji aisee kuna vitu mtu ana comment hadi unaona sijui hizo huko shule mlienda kusomea nini?
 
Nyerere aliijenga heshima, na sifa ya Tanzania kwa viwango vya juu kabisa, kiasi hata passport ya Tanzania ilikuwa hukaguliwi kwa Mashaka yoyote .

Sasa hivi kuingia baadhi ya Nchi ukisema unatoka Bongo ni mbinde.

Hata kuomba visa ni shughuli

Hata visa ya China siku hizi inazingua😀😀😀😀. Tumekuwa watu wa mashaka
 
Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania.

Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza mifumo yao.

"Zambia si Tanzania," alisema kwa msisitizo huku akieleza kuwa kila nchi ina utaratibu wake wa uongozi na maisha ya kijamii ambao unapaswa kuheshimiwa na kila mtu anayeishi hapo.

Baada ya kuongea hivyo, Polisi wamezingira nyumba yake kama ilivyokuwa kwa Askofu Josephat Gwajima. Mbinu zilezile za kihuni za kizamani za bridi.

MY TAKE
CCM iache kuendekeza ugaidi Nchi za watu. Iache kuharibu chaguzi za Nchi Nyingine. Aibu kwa Samia Suluhu alowatuma kufitinisha Wazambia.

Sifa ya Tanzania sasa ishabadilika. Imekuwa Nchi ya kuchochea mauaji si ukombozi tena.

Brian Muntayalwa Mundubile amekataa huo upuuzi wa Watanzania
View attachment 3650659
Makonda hainekani mjini.Au itakuwa ndiyo kaongoza kikosi kazi
 
Tuwe wa kweli tu kimsingi kabisa kati ya wewe na huyo aliyesema hapo nani yupo Zambia nani anayegombea Urais na intelligence ya kiasi gani, anayajua mangapi hadi sasa?

Wa Tanzania tupunguze ujuaji aisee kuna vitu mtu ana comment hadi unaona sijui hizo huko shule mlienda kusomea nini?
Sasa intellejinsia ya huyo Ina utofauti gani na Intellejinsia ya erythrocyte wa JF au wewe?!!! Wapinzani mara zote walishindwa basi frustrations zao za kuanguka huwapelekea kuongea lolote.
 
Sasa intellejinsia ya huyo Ina utofauti gani na Intellejinsia ya erythrocyte wa JF au wewe?!!! Wapinzani mara zote walishindwa basi frustrations zao za kuanguka huwapelekea kuongea lolote.
Mimi sina "recce" yoyote ile ila naimani wewe hata fomu ya udiwani huwezi thubutu kuchukua. Sasa utajua nini kumzidi mtu ambaye anawania urahisi na kuongoza kwenye matokeo ya awali wao wapumbavu tu waruhusu hilo.

Hii JF kuna watu bana ni basi tu.
 
"Urahisi" mbona unaweza kugombewa hata na ps kama wewe. We umeona ni kitu kikubwa sana ee?!!!
 
"Urahisi" mbona unaweza kugombewa hata na ps kama wewe. We umeona ni kitu kikubwa sana ee?!!!
Hiyo ni typing error tu wewe si mgeni na hizi simu na nilijua utakimbilia hilo. Vile vile ulivyoandika mimi ps basi naweza sema huna uwezo wa kutoa hoja na huna uwezo wa kunipa panic yoyote nawajua sana watoto wa JF ya leo. Alafu watu kama ndo kuna idara mnazitamani unapewa hoja unakimbilia kejeli utaweza kweli RESISTANCE TO INTERROGATION??
Ni aibu.
 
Inawezekana Mimi na wewe tuna matatizo yanayofanana; bahati mbaya tu ni kwamba tuko pande tofauti. Wewe huielewi siasa vilivyo ndo maana una mawazo kuwa anayeuwaza uRaisi ni Kila kitu na hawezi kukurupuka au kuzusha. Wakati Mimi Nina tatizo la kufikiri kuwa katika usakaji wa madaraka, hususani katika siasa zetu za kiafrika, everything is fair; msaka madaraka anaweza akaropoka lolote, akazusha lolote provided that litampa kick.

Tuna tatizo jingine; tumechagua pande za kushabikia. Wewe unafurahi ikishutumiwa Tanzania sababu unajua atalaumika Samia Huku Mimi nikiwa sitamani alaumike sababu sina shida nae.
 
Noted.
 
Hichelema ana nafasi ya kushinda ila mtanange mkali
Hakuna cha kushinda 98%
Siasa za wazambia/marais
Wakistaafu huwa qa visasi sana

Ova
 
Wewe jamaa sidhani kama una elimu hata ya form four. Unashindwa hata kusoma “between the lines”. Huyo mwamba anaongelea figuratively kuwa Tanzania kuna ubakaji wa demokrasia. Tanzania uchaguzi unaporwa na ccm. So what don’t you understand here. Una makasiriko ya kipumbavu wewe *****
😁😁😁
 
Poa, ila nasikitika huja'note' kwa moyo safi. Usiwe hivyo mkuu.
Sasa sina cha kuongezea na kimsingi mimi sina ushabiki wa kisiasa au kutaka Samia aonekane mbaya hoja yangu ilikuwa ni kwamba mpaka yule kiongozi wa huko Zambia kusema yale possibly kuna kitu kinachoendelea kwanini asiseme Zimbabwe, Mozambique, au Angola ndiyo maana nikasema mpaka unagombea nafasi hiyo na ukiwa katika ushawishi mkubwa kwa jamaa intelligence ni moja ya tool muhimu sana either ushinde au ushindwe hapo itategemea na mazingira na uhalisia.
 
Tanzania heshima yake haiwezi kushushwa na mpuuzi km huyo, nchi yetu iko juu sana ndiyo maana viongozi wakuu wa.nchi wanapishana kuja nchini mwetu, mwaka huu tu mpaka sasa wameshakuja marais wengi. Apambane na hali yake asitafute mchawi
... hawa tukizuia tu dagaa wasipite mpakani, kwenda kwao, KWISHA HABARI YAO!
YAANI HAWA SANCTION MOJA TU, YA DAGAA, CHALI! 😅
 
Back
Top Bottom