Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania.
Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza mifumo yao.
"Zambia si Tanzania," alisema kwa msisitizo huku akieleza kuwa kila nchi ina utaratibu wake wa uongozi na maisha ya kijamii ambao unapaswa kuheshimiwa na kila mtu anayeishi hapo.
Baada ya kuongea hivyo, Polisi wamezingira nyumba yake kama ilivyokuwa kwa Askofu Josephat Gwajima. Mbinu zilezile za kihuni za kizamani za bridi.
MY TAKE
CCM iache kuendekeza ugaidi Nchi za watu. Iache kuharibu chaguzi za Nchi Nyingine. Aibu kwa Samia Suluhu alowatuma kufitinisha Wazambia.
Sifa ya Tanzania sasa ishabadilika. Imekuwa Nchi ya kuchochea mauaji si ukombozi tena.
Brian Muntayalwa Mundubile amekataa huo upuuzi wa Watanzania
View attachment 3650659