This is Zambia not Tanzania. Walotumwa kuharibu Uchaguzi Wafukuzwa

We elimu yangu itakusaidia Nini, hiyo ni mpuuzi huwezi kuiongelea nchi ya watu vibaya Tena unategemea kuwa Raise Tena jirani km Tz? Nafikiri akili yako ni km ya hiyo bwege
 
Ninafikiri hata yule mhadhiri wa UDOM bw Kaijage alitoa mfano wa wizi wa kura October 29 ndio maana wamempa kesi ya ugaidi.

Tanzania kwa sasa ndio benchmark ya wizi mkubwa wa kura kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la Sahara.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Tanzania heshima yake haiwezi kushushwa na mpuuzi km huyo, nchi yetu iko juu sana ndiyo maana viongozi wakuu wa.nchi wanapishana kuja nchini mwetu, mwaka huu tu mpaka sasa wameshakuja marais wengi. Apambane na hali yake asitafute mchawi
Pole kwa kukariri uovu na kuugeuza kuwa ujanja na sifa.
 
Uchaguzi wa Zambia inalaumiwa ccm. Hivi nyie manyumbu mna akili kweli?!!!!!
Ametamka mzambia mwenyewe. Hataki ujinga wa Tanzania kwao. Mtaendelea kuuwa bure hata kwa nukuu za Mataifa ya kigeni.

Hapo hahusiki punda wala nyumbu.
 
Tanzania heshima yake haiwezi kushushwa na mpuuzi km huyo, nchi yetu iko juu sana ndiyo maana viongozi wakuu wa.nchi wanapishana kuja nchini mwetu, mwaka huu tu mpaka sasa wameshakuja marais wengi. Apambane na hali yake asitafute mchawi
Nyie nguruwe wapigwa miti wa Lumumba mkihongwa buku saba akili zinageuka mavi, waambien wajinga wenu waendelee kubaki Zambia wachinjwe kama mbeha.
 
Uongozi ndio kila kitu. Zile sifa zote za Tanzania, zimeondoka ghafla
Ilikuwa fahari sana miaka ya Mwl Nyerere,hata warundi walijitambulisha huko nje kama Watanzania, sasa imekuwa kinyume, Watanzania wanaona aibu kujitambulisha wanatoka Bongo.
 
People of Zambia have decided to retain their Government, don't blame Tanzanians 🐒
A fool is beguiling himself with sycophancy intent hoping that his foolish mind may escalated to the civilized countries. Get dicked at your lumumba corridors in return of 7,000/=.
 
Ilikuwa fahari sana miaka ya Mwl Nyerere,hata warundi walijitambulisha huko nje kama Watanzania, sasa imekuwa kinyume, Watanzania wanaona aibu kujitambulisha wanatoka Bongo.

Tupo tupo tu...... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tupo tupo tu...... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nyerere aliijenga heshima, na sifa ya Tanzania kwa viwango vya juu kabisa, kiasi hata passport ya Tanzania ilikuwa hukaguliwi kwa Mashaka yoyote .

Sasa hivi kuingia baadhi ya Nchi ukisema unatoka Bongo ni mbinde.

Hata kuomba visa ni shughuli
 
Daah mtu akilishwa na kuzoe uongo ni mbaya..sasa wapi jamaa kasema Tanzania imeingilia uchaguzi..Lakini pia mgombea aliepo madarakani alishangiliwa na upinzani kua uchaguzi wao wapo huru sana leo hii mnakuja na tilalilaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…