This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

For the sake of our development, for the sake of trade and political and technological and cultural intercourse with the rest of the world, we need to master at least one of these global languages.

Well said, and for a country like Tanzania, where English isn't our primary language, not all the people need to Master English! Babu yangu kule kijijini hana haja ya kujua kiingereza, what he needs is a good command of Swahili and his tribal language!

Na kuweka tu kumbukumbu sawa, hakuna kitu ambacho tumeshindwa kufanya cha kimataifa ambacho eti lugha imekuwa ni barrier, kama kipo nakiomba!

Kusema hivi haina maana we don't need English! We need it and English needs us! And we are good at it, though not compared to you Kenyans as you can't be compared to Ugandans! So there must be a level of inequality as far as English speaking is concerned among different Nations!
 
Hana akili huyo anaongea vitu vya kijingajinga utumwa Wa kimawazo umemtawala.

Hajui kwamba kwa Africa kiswahili kinashika nafasi yapili nyuma ya kiarabu kwa kuzungumzwa sana.
Oh kweli, ni cha pili Africa, kwa kuwa na idadi kubwa ya wazungumzaji, 16 worldwide, na 13 as most influencing language in the world!
 
Mkalimani huyu anaongea Kiswahili kizuri zaidi ya Uhuru na Wakenya wote..

Mlianzisha hii thread, mkenya akawajibu na nyinyi hamjui kiingereza, tazameni jinsi mmeshika moto!
Kama lugha ni lugha tu, basi hamna makosa kwa wakenya kujua kingereza zaidi kuliko kiswahili na vv.

Mradi tu, haya lugha yanatimiza matakwa na malengo ya taifa.

Wakenya wanazungumza kizungu, kiswahili ( hata kama sio katika uhalisia wake) na pia pia lugha zao za mama.
Utumwa wetu na ujinga wetu upo wapi hapo?
My strong condemnation came due to some comments which annoyed me. All in all as you said there as long as the language save the people then it is best for us to enjoy it and act as good neighbors lending each other a helping hand when needed.
 
9f388743524a0aab4a5f45b0d64240f9.jpg
 
off topic kidogo:
ma-youth wa kenya kwa kupenda kuiga lifestyle na maadili ya watu wa magharibi,kuna wakati mnazidisha na kuonekana wajinga.

mnajifanya mpo so civilized and globalized to the extent of worshiping/idolizing a jamaican dancehall superstar vybz kartel as God and committ crime under his name.

hakika huo ni ni ujinga wa kiwango cha juu mno.pathetic.

naunga mkono ma-hessy wote wa dandora,kariobangi,kayole,eastleigh na maeneo yote yenye wakora,kwa juhudi wanazofanya "kula vichwa" vya hao wajinga.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
a134294f40cf1c600cb1968e0e494ac3.jpg
953e35ef8b7e35989614ff2876405caf.jpg
 
watz sawa na mifugo wangu zizini tu, nao hawajui kutema yai pia....ndo maaana kila siku wanalialia mikataba mibovu mibovu....naskia ata mzee wao wa magogoni anapata kozi za uhakika toka kwa ras simba[emoji3] [emoji3] [emoji109] [emoji90]
 
Brother i beg to differ with you, Gosh! before I do that, labda unisaidie una maana gani kusema kiswahili bado sana kupata hadhi ya kimataifa!
Kiswahili bado sana kufikia hadhi ya lugha kama English, Chinese, Spanish, Portuguese nk kama lugha ya kimataifa interms of the number of speakers as well as its usage in different parts of the worrld, its use in high stakes international trade and political negotiations, advancements in the modern science and technology nk
Hana akili huyo anaongea vitu vya kijingajinga utumwa Wa kimawazo umemtawala.

Hajui kwamba kwa Africa kiswahili kinashika nafasi yapili nyuma ya kiarabu kwa kuzungumzwa sana.

Kabla ya kuniita mjinga, je, nimekosea kwenye argument yangu hapo juu? Hebu nikosoe.
 
Mbona hata wendawazimu wa Bongo wanajua Kiswahili ambacho Rais wa Kenya hawezi ongea!!!
Acheni kashfa zenu.
Mm si Team Magu wala Team CCM ila Kashfa za kumlinganisha Rais wetu na Mtoto wa Mtaani siziungi mkono.
 
Kiingereza ni lugha kama kiswahili mleta mada acha shobo..hatuangalii unaongea nini tunaangalia un nini kichwani...
 
Mjifunze English tafadhali....hii ni picha kutoka Tz
7f3449966201832cbafe995abecbcffc.jpg
Shida iko wapi kwenye hilo tangazo? Huyo ni mfanya biashara anajua mazingira ya maeneo yake na jinsi ya kuvutia biashara yake!

Au kwa uelewa wako ulitaka tangazo lake lifanane na lile liloloko kwenye official site ya FA?

Grow up, bado unaonekana mtoto kabisa usojua vitu zaidi ya kujaa mihemuko ya puberty
 
Kiswahili bado sana kufikia hadhi ya lugha kama English
endelea tu kujifariji.
taarifa mbaya kwa watu kama nyinyi msiomudu kuzungumza/kuandika lugha ya kiswahili kwa ufasaha,ni kwamba,kiswahili kwa sasa ni lugha ya tatu (yenye asili ya uafrica) Africa yenye wazungumzaji wengi.

nina hakika itafika wakati itakuwa lugha ya pili au ya kwanza yenye wazungumzaji wengi africa.mda utaongea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
9f7f9dc58236d8fc82850ffc1ca26d60.jpg
 
We are not denying the use of ENGLISH or its importance;
The little English we know allows us to express ourselves and to strike even good international deals.
So don't flood us with your fluency.
Every country that's not English_dominion have their flaws in the Language.
We have survived the past 56 years after colonization with the broken Swahili and we have managed to develop to a good level and we will survive 56 more at a lightning development speed.
Keep on dreaming, go back to sleep.
Fyi, you were supposed to be afar from where you are now, keeping in mind the amount of resources you have as a country.
I pity you saying that you have strike good international deals, hahahaha...which ones?
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
hata huyu mtanzania hapa chini hajui kingereza lakini siku si nyingi mtaanza kupanga foleni katika fuel station zake ili mjaze mafuta katika matatu na bodaboda "zenyu".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
d6ae59445c38d2bf4dcb6f120768cb57.jpg
e8b3fb8f7aad1207849a5d8c39fbac8b.jpg
4e4b108df9370961e5f86840088efa06.jpg
 
Hakuna sehemu nimelinganisha English na kiswahili, vinatofautiana mbali sana kwa level ya kimataifa! Moja ni universal nyingine ni international tu!

Kutoa mifano ya nchi kama china, Japan, korea and the likes katika kutumia lugha zao ni kuonesha kuwa sio lazima nchi itumie kiingereza ndo iweze kufanya mambo makubwa!

Jana tu hapa tumezindua kituo cha kutunza taarifa na mfumo wa kukusanya mapato kielektroniki!

Hiki kituo ni cha pili kwa ukubwa Africa nzima ambapo cha kwanza kiko Africa kusini! Jambo jema zaidi ni kuwa kituo hiki kimebuniwa, na kutengenezwa na watanzania wenyewe!

So sio kwamba kutoongea English eti ndo tuwe nyuma, la hasha! Kiingereza tunakielewa kinachotuwezesha kufanya mambo yote yanayohitaji uelewa wa lugha hii! Baada ya hapo kila kitu kinarudi kwenye lugha mama kiswahili!
Kiswahili bado sana kufikia hadhi ya lugha kama English, Chinese, Spanish, Portuguese nk kama lugha ya kimataifa interms of the number of speakers as well as its usage in different parts of the worrld, its use in high stakes international trade and political negotiations, advancements in the modern science and technology nk

Kabla ya kuniita mjinga, je, nimekosea kwenye argument yangu hapo juu? Hebu nikosoe.
 
Hizo ni fikra potofu na ujinga uliopitiliza. Basi hamieni uingereza kabisa tujue maana hao ndo wenye kiingereza. Uzuri Tanzania tulikataa ukoloni kulazimishwa kuzungumza lugha za watu wengine wakati mna lugha yenu. Hakuna Taifa duniani limeendelea kwa kutumia lugha ya Taifa jingine. kuanzia Arabuni, China, Japan, Rusia, hata huko Ulaya kwenyewe kila watu na lugha zao Polish, French, Italian, Portuguese n.k. Sasa hebu niambie lugha ya Taifa ya kenya ni ipi? ndo maana ukabila hauishi nawasubiri mwezi wa nane. Tutakuja tena kuwasuluhisha
 
Back
Top Bottom