Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Hawa waasi wa Syria wamepata nguvu kutokana na mambo makuu mawili
1. Kushindwa kwa Hezbollah huko Palestina. Hezbollah ndo walikuwa kikwazo kikubwa kwao
2. Hali mbaya ya Iran pamoja na Syria
3. Vita vya Urusi na Ukraine. Sababu hawa ndo marafiki wakubwa wa Assad jemedari wetu. Kwa sasa Russia nayo haijakaa sawa sana. Irani wamenyong'onyea kwa kipigo toka Israel. Syria amebaki dhaifu.
Hapa naandika lakini ni mambo ambayo sikupenda yatokee kwa kuwa hawa jamaa wanafadhiliwa na Marekani na Israel halafu ni watu wa Imani moja. Ndo nawaza inakuaje hii?
Tukubali tusikubali Israel safari hii waliamua hasa kufanya unyama. Gaza na Palestina zina hali mbaya. Hezbollah kwa sasa wanachechemea sana. Hawapati tena misaada ya silaha njia zimefungwa. Na walijisahau vipi sijui mpaka Israel imepiga kiasi hicho.
Masheikh wenzangu mtakuja hapa angalau tuangalie what is next. Tusikate tamaa
Ritz Malaria 2 Adiosamigo Kosugi
Wabillah tawfiq. Tusikate tamaa sisi waja. Bado tujipange tu.