This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

Sheikh wangu.hili tusibishane tu kwa sababu ya ubishi. Hawa waasi wa Aleppo unadhani wangeenda anzisha vita Syria? Unajua Assad ni kama kakimbia nchi? Hisbullah wameshindwa. Mayahudi wanaendelea kupiga huku Marekani ikitaka wasimame. Kaangalie Al Jazeera.
Bro utaweza ubishi wa kidini? Wenzio hata akibaki mmoja anajiaminisha bado ana uwezo wa kupambana.
 
Back
Top Bottom