This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

Watu wa kushangaa ni wale wanaoona mtu kuabudu kiumbe mwenzake anayekunya kama yeye
Jishangae wewe unayefuatilia watu hao na wao wana maisha yao. Mi nadhani wenye akili na walio busy they just mind their own business. Wengine watakuambia wanashangaa kuona kuna watu wafuasi wa mtu ambaye ni mzinzi na mwasherati
 
*Kitu cha mwisho,Iran imepeleka special force Syria,pia Russia ameshaanza mashambulizi ya anga Idlib na Hallep,inamaana kazi ya Iran itakua ni ground operation baada ya kuwadhoofisha waasi Kwa mashambulizi ya anga ya Urusi.
Jana na juzi tu waasi zaidi ya 300 waliuawa.
Sawa mchambuzi wa masuala ya middle east kutoka Idlib Mbagala.
 
Itakuwa na wewe ni mmoja wao kwani inaonyesha unakasilika sana kuambiwa unaabudu mtu anayekunya kama wewe
Melezi nliyopata na Elimu vimenifundisha mambo mengi sana. Wazazi na Elimu/Exposure.
 
kobaz hawawezi kushindwa kwa sababu ili uwashinde unatakiwa kuua woote, ndivyo wanavyoamini, wao kifo sio shida, ndio maana hata raia wao wote wakifa wanaona poa tu. uongozi wote wa hezbollah umefutwa ila wanaona poa tu. kama sio umbumbumbu ni nini hapo? majengo yote yamefutwa, wataanza kuomba msaada wajengewe upya. shida ni kwamba, silaha yao kubwa ni kulialia, wamejua kuwa dunia haipendi mauaji hivyo wanakuchokoza ili uwauwe ili dunia ikuchukie, ila vita vya uso kwa uso hawana uwezo. this time hezbollah amepigwa kuliko miaka yote na cease fire kwao ndio ushindi, cease fire ambayo Marekani wamelazimisha na Israel anatafuta namna yeyote ili mapigano yaendelee na wanamsubiri Trump aingie ili wakinukishe upya.
Kifo sio shida huku kutwa wanajificha kwenye mahandaki?????
 
Kama Hizbollah angeshindwa, Israel isingepita mlango wa nyuma kuiomba Marekani ifanye mchakato wa ceasefire!.

Kiufupi vita na Hizbollah vilikuwa vinaiweka Israel ktk wakati mgumu zaidi kwa sababu kuna wakazi zaidi ya 100000 huko northern Israel waliyahama makazi yao na wasingeweza kurudi.

Pia Hizbollah ilianza kuchapa hadi ndani ya Tel-Aviv

Makombora ya Iron dome ya kuzuia missiles za Hizbollah yalikuwa yanapukutika kwa kasi
Ujui kwamba Hezbollah anaendelea kupokea kipigo na hata makombora hawawezi kurusha tena inawexekana makombora yao yote yameangamizwa


View: https://x.com/IDF/status/1865747762165284869?t=SKFkaq9N7y3CRaBi5SKByg&s=19
 
Mkuu mbona umeandika kana kwamba hujui nini kimetokea huko Israel.
Hizbollah ingekua imeshindwa France na USA wasingehangaika kutafuta suluhu.
Hadi kufikia wakati wa makubaliano ya usitishwaji vita Hizbollah ilikua imefanya operation ya makombora 450+ ndani ya mwezi september hadi November,na 90% ya hizo operations zilifaulu.
Miji ya kaskazini na Kanda ya kati ya Israel imepigwa na kulipuliwa kiasi raia kukimbia hiyo miji.
Askari zaidi ya 130+ ndani ya October hadi November wa IDF walifariki.
Sasa Hizbollah imeshindwa wapi!?
Pia usijidanganye kuwa Hizbollah haina silaha,bado ina shehena ya silaha.

*Kuhusu shambulio la Israel Kwa Iran hakuna haja ya kulizungumzia Kila mtu anajua kuwa ni TOTAL FAILURE.

*Hao waasi fursa waliyoitumia ni vita ya Ukraine vs Russia na mapigano ya Hizbollah na Israel.Hizbollah imetumia nguvu nyingi sana dhidi ya Israel na pia imepoteza askari wengi.

*Kitu cha mwisho,Iran imepeleka special force Syria,pia Russia ameshaanza mashambulizi ya anga Idlib na Hallep,inamaana kazi ya Iran itakua ni ground operation baada ya kuwadhoofisha waasi Kwa mashambulizi ya anga ya Urusi.
Jana na juzi tu waasi zaidi ya 300 waliuawa.
Kiufupi tuseme tena mbinu ya Israel na US imefeli.
Ujui kwamba Hezbollah anaendelea kupokea kipigo na hata makombora hawawezi kurusha tena inawexekana makombora yao yote yameangamizwa
 
Ujui kwamba Hezbollah anaendelea kupokea kipigo na hata makombora hawawezi kurusha tena inawexekana makombora yao yote yameangamizwa

Propaganda tu hizo.

Tatizo la Zayuni huwa haheshimu mikataba.

Hezbollah wao ni waumini waislamu akiingia mkataba, basi kuuvunja wanaona hawatendi sawasawa. Ndiyo maana wanaheshimu Makubaliano.

Kitu kingine ni kuwa kuna delicate balance ya kijamii ndani ya Lebanon inayoweka pressure kwa Hizbollah wachill down. Lakini Israel haijaweza kuipiga Hizbollah.

Kama Israel ingekuwa inaipiga Hizbollah isingemtumia Marekani ili aweke ceasefire.
 
Kuna watu ni wabishi sana, wanashindwa kukubali kuwa, Hamas, Hizbullah wamechapika na kupotezwa vibaya, huku Iran akiwa hana tena msaada kwao na Syria ya Assad ikitafunwa kama keki.
Myahudi ni mtu mbaya sana.
 
Kuna watu ni wabishi sana, wanashindwa kukubali kuwa, Hamas, Hizbullah wamechapika na kupotezwa vibaya, huku Iran akiwa hana tena msaada kwao na Syria ya Assad ikitafunwa kama keki.
Myahudi ni mtu mbaya sana.

Huo ni mtazamo wako.

HAMAS is an idea of resistance. Haiwezi kufa mpaka siku wapalestina watakapokuwa free.
 
Aisee naweza nikasema uko misinformed.
Usifananishe Hizbollah na Alqaeda,kwanza hiyo Alqaeda iliundwa na hao mabwana wakubwa,hivyo ilikua ni sawa na kinyago ulichokichonga hakiwezi kukutisha.
Pia Hizbollah ni kundi la washika silaha lenye WAPIGANAJI wengi kuliko kundi lolote duniani.
Hizbollah wana wapiganaji zaidi ya laki moja na nusu.
Pia Hizbollah ni political organization ndani ya Lebanon.
Sio kundi la washika silaha tu.
Wewe una uhakika gani kama mashambulizi wanayofanya Hizbollah ni misguided hayana madhara?
Una habari kama raia wa kaskazini wamehama kukimbia mashambulizi ya Hizbollah!?

Hao Houthi unaowasemea lengo lao kuu ilikua kuzuia Red sea isipite meli kuelekea Israel,je Kuna meli yeyote inayopita kuelekea Israel kupitia red sea!?
Jibu ni HAPANA.
Usiyachukulie mambo kiwepesi mkuu.
Hizbollah sio mfupa rahisi kama unavyodhani,Alqaeda ni kundi dogo sana mbele ya Hizbollah.
Hizbollah ni jeshi la Iran la pili ndani ya Lebanon,pia Hizbollah ni sehemu ya serikali ya Lebanon,sio rahisi kujimaliza kama unavyodhani.
I think you guys mnaongea kitu kimoja but kwa lugha tofauti. Al Qaida na Hezbollah tofauti zao ni hizi, Al Qaida walikua na ugomvi na USA, popote yalipokua maslahi ya USA hapa duniani, Al Qaida walifanya mambo, mfano ni hapa kwetu na Kenya, Kampala waliwahiwa na ndio maana hawakufanikiwa, Al Qaida wamepiga pia Spain na France kama sikosea, Hezbollah wao wana ugomvi na Israel. Hawajasambaa zaidi ya mashariki ya kati, Al Qaida walikuwepo Somalia miaka ya 90 mwishoni kabla ya kuhamia Afganstan na Pakistan, Al Qaida ilikua na raia wa nchi tofauti tofauti duniani including yule Mpemba wetu, Hezbollah wao kimsingi ni Wapalestina waliohamia Lebanon miaka mingi iliopita. So vikundi hivi vilikua na mission tofauti, wengine wanaweza kuwaita Hezbollah kama kikundi cha wapigania uhuru wa Palestine kama ilivokua ANC, Frelimo, Swapo, Unita nk. Al Qaida kiliundwa rasmi na Osama kwa ajili ya kulipiza kisasi cha zuruma aliofanyiwa Osama na USA, ugomvi huo akaurasimisha kidini. Ndio maana baada ya Osama kuuawa is like Al Qaida ni kama imekufa, Hezbollah wanauawa viongozi wao, chenyewe bado kipo. Hi ndio tofauti yao.
 
Back
Top Bottom