ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Usiniharibie uhuru wangu wa kutoa maoni. kawaambie huko kwenu wakae kimya.Huna unalojua kaa kimya kuficha ujinga wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiniharibie uhuru wangu wa kutoa maoni. kawaambie huko kwenu wakae kimya.Huna unalojua kaa kimya kuficha ujinga wako.
Mimi sijui wewe unaonaje!?Kwa hiyo kwa mujibu wako cease fire huko Lebanon ilikuja kwa ajili ya kumu rescue Israel maana alikuwa kachapika sawa sawa si ndio?
Hujaharibiwa uhuru wa maoni ila umepewa ushauri tu.Usiniharibie uhuru wangu wa kutoa maoni. kawaambie huko kwenu wakae kimya.
Tuendelee kunywa mtori sheikh nyama mbele kwa mbele...mda ni mwl mzuri soon tutajua cease fire nani anaihitaji kati ya Hezbollah na IsraelMimi sijui wewe unaonaje!?
1. Kule Gaza Israeli alikuwa anafuatilia kuokoa au kuwakomboa mateka 250? ambao walitekwa 07Okt.2023 na alikuwa hajui wapo wapi kwani Mateka wanahamishwa-hamishwa kila wakati.Mkuu kama unachosema ni sahihi kwanini hawakufanya kwa Gaza??
Zilipelekwa resolutions nyingi sana za ceasefire mbaka na wafalme za falme za kiarabu na mataifa mengine ikiwemo Belgium na Norway wakisema ceasefire inahitajika Gaza,basi walau ruhusuni hata misaada ya kibinadamu kama chakula na dawa.
USA na wawakilishi wake UN walikaza shingo wakisema vita iendelee kwasababu Israel ina haki ya kujilinda.
Je Lebanon na Gaza wapi kuna hali ngumu!?
Naomba unijibu mkuu wisely and openly.
Mkuu Hamas ilitoa masharti ya ceasefire kuwa Israel ijiondoe na iache kushambulia na wafanye prisonal swap,ila Israel ilikataa.1. Kule Gaza Israeli alikuwa anafuatilia kuokoa au kuwakomboa mateka 250? ambao walitekwa 07Okt.2023 na alikuwa hajui wapo wapi kwani Mateka wanahamishwa-hamishwa kila wakati.
Resolutions za cease fire zilikumbana na sharti la Israeli la Mateka waachiwe kwanza Kitu ambacho HAMAS hakukubaliana nacho ila alitaka Israeli aondoke bila masharti Gaza. Kwa hali hiyo mapendekezo ya cease fire yote yalikwama.
Hilo la Hamas kupora misaada sina uhakika nalo,ila tangu misaada ianze kuletwa Gaza kumekua na uvamizi wa Zionist settlers walivamia magari ya misaada na indiscriminate bombings kwenye magari ya msaada,hadi raia wa kimarekani walifia hapo wakipeleka misaada na gari lao.2. Israeli aliruhusu misaada ya kibinadamu lakini HAMAS nao kama binadamu wengine, njaa ilimbana na singeweza kwenda kwenye mgao wa chakula kwani IDF atamuua. Kwa hali hiyo HAMAS walikuwa wanateka magari ya misaada na kujichukulia chakula na vifaa tiba.
Kwa hali hiyo ilibidi Israel aitake UN kazi hiyo aifanye IDF. IDF ilifanya kazi hiyo kwa kuweka uchochoro huru (Corridor) na ndipo chakula wala kiliweza kuwafikia Wapalestina.
Nilikuuliza swali jepesi mkuu kati ya Gaza na Lebanon wapi kuna hali ngumu.3. Hali ngumu kwa maana ipi?
Kivita, Lebanon kuna hali ngumu ukizingatia kwamba Hezbollah hiyo vita ni amejitakia, halafu njia zote Hezbollah alizokuwa anatumia kuingiza kinyemela misaada ya hali na mali zimedhibitiwa, majirani zake Hezbollah (Syria na Iraq..) hali sio shwari ndani, Iran ambaye ndo mfadhili mkubwa naye anaelekea kulemewa na mzigo wa ufadhili kwa wanaouhitaji ufadhili wameongezeka. Ndo mana cease fire deal Israel/Lebanon (Hezbollah) ulikubalika mapema ila inaonekana Hezbollah hakuelewa kilichomo ndani ya huo mkataba kwani mara kwa mara anakiuka na IDF anatoa kipigo na anapolalamikiwa/ulizwa anaonyesha kifungu cha kwenye cease fire Deal kilichomruhusu.
Kivita Gaza imepata hasara kubwa mno kwani miundombinu iliyoharibiwa na inayoendelea kuharibiwa ni mali ya Gaza kama nchi ya Wapalestina na sio mali ya kikundi cha HAMAS kilicho ndani ya nchi ya Wapalestina yaani Gaza.
Ndio. Israeli ilikataa kwa sababu kujiondoa manake inaachia maeneo iliyokwisha safisha na indiretly HAMAS atakuwa amerudishiwa na ataingia kuyamiliki kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya vita. (Hili litategemea yaliyomo kwnye Truce bill)Mkuu Hamas ilitoa masharti ya ceasefire kuwa Israel ijiondoe na iache kushambulia na wafanye prisonal swap,ila Israel ilikataa.
Kama kimsingi wote Israel na HAMAS waliridhia usitishwaji wa vita ila ikaja kuwa wanatofautiana kwenye muda wa usitishwaji mapigano kulikuwa na nini?Israel ilitaka temporary ceasefire ilhali Hamas walitaka usitishwaji wa vita moja kwa moja.
Hapo utamlaumu vipi Hamas mkuu?
Huyu jamaa ni mkufunzi wa Madrasa humwambii kituSheikh wangu.hili tusibishane tu kwa sababu ya ubishi. Hawa waasi wa Aleppo unadhani wangeenda anzisha vita Syria? Unajua Assad ni kama kakimbia nchi? Hisbullah wameshindwa. Mayahudi wanaendelea kupiga huku Marekani ikitaka wasimame. Kaangalie Al Jazeera.
Mkuu prisonal swap iliyokusudiwa hapa ni kama Ile iliyofanyika mwanzo ambapo mateka 100 waliachiwa na Hamas Kwa kuruhusu mamia ya raia wa Palestina waliofungwa Israel.Ndio. Israeli ilikataa kwa sababu kujiondoa manake inaachia maeneo iliyokwisha safisha na indiretly HAMAS atakuwa amerudishiwa na ataingia kuyamiliki kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya vita. (Hili litategemea yaliyomo kwnye Truce bill)
Kubadilishana mateka wa kivita (POW)sijui kama raia waliochukuliwa kama mateka nao huhusika. Ninachojua ni askari waliokamatwaau waliojisalimisha vitani.
Gaza inaongozwa na Hamas authority sio PNA.Kama kimsingi wote Israel na HAMAS waliridhia usitishwaji wa vita ila ikaja kuwa wanatofautiana kwenye muda wa usitishwaji mapigano kulikuwa na nini?
Kwa kuzingatia kwamba Gaza au Gaza Strip ndo nchi Tambulika na hata mipaka yake ipo kisheria; HAMAS kama kikundi tu cha wanaharakati kisingeweza kuwa ndo msemaji wa nchi.
Halafu pia tukumbuke Israeli na Palestina (Mamalaka ya Wapalestina Palestinian National Authority ( PNA)) wana mahusiano fulani tokea zamani lakini kuhitilafiana kuliongezeka kuanzia 2006. HAMAS ilipozidisha harakati zake.
Kwa mantiki hiyo Israeli anayo mengi mazuri na mabaya anayoyafahamu dhidi ya HAMAS. Waswahili wanasema "Wametoka mbali"
Kwa nini israel inakataa sheikh wangu? Maana nami hapo ndo napata mgagaiko wa moyo.Mkuu prisonal swap iliyokusudiwa hapa ni kama Ile iliyofanyika mwanzo ambapo mateka 100 waliachiwa na Hamas Kwa kuruhusu mamia ya raia wa Palestina waliofungwa Israel.
Na ndivyo ilivyokua,Hamas walikua wanataka raia walio gerezani mwa Israel waume Kwa wake waachiwe na wao wawaachie mateka.
Gaza inaongozwa na mamlaka ya Hamas.
Gaza inaongozwa na Hamas authority sio PNA.
PNA unayoidai hapa mamlaka yake yapo West bank sio Gaza.
Hamas ilisema vita iishe wanachotaka wao wapewe raia wao na wawaachie mateka,kwanini Israel ikatae?
mimi namwabudu Mungu, siabudu mungu wa kiarabu asiye na nguvu na anayehitaji wanadamu wampiganie.Hujionei huruma wewe mwenyewe kuabudu kiumbe kama wewe kama Mungu ??
Siyo kweli. Suluhu hii ina kishindo kikuu. Mark my words. Angalia wataleban walipoachwa huru ni nini kimetokea. Hizbolah kwishney. Target kubwa ss hivi ni Iran.Hisbullah wangalishindwa marekani asiehangaika kutaka Suluhu. Ukimuona marekani anatafuta Suluhu ujue Isreal yupo hali mbaya sana.
Kobaz vs kobaz nadhani allah atawapa mabikira wote ili kuwafuta machozi.Mi nauliza tu. Hiv hapo Syria napo wakiuwana bado watapewa Mabikira au allah anafanyaje?
Israel inavyoonekana lengo lake ni kuifanyia annexation Gaza na kuvunja utawala wa Hamas.Kwa nini israel inakataa sheikh wangu? Maana nami hapo ndo napata mgagaiko wa moyo.
Hizbollah hawajaisha usijidanganye.Siyo kweli. Suluhu hii ina kishindo kikuu. Mark my words. Angalia wataleban walipoachwa huru ni nini kimetokea. Hizbolah kwishney. Target kubwa ss hivi ni Iran.
mimi namwabudu Mungu, siabudu mungu wa kiarabu asiye na nguvu na anayehitaji wanadamu wampiganie.
Look my friend, hakuna kundi la kigaidi Duniani liliwahi kuwa Tishio kama Alqaeda ya Osama binLaden. Lili lilikuwa baya sana kwa kipindi kile na walikuwa hawana makazi maalum kama Hezebolah na Hamas. Umeshawaona tena? Hata kama waliswitch over kujiita Boko Haram, seleka, Alshabab etc lakini walishakatwa makali. Believe me, Hezebolah iko terminal stage ya kutoweka. Russia na Iran wanalijua hilo. Vikombora vinavyorushwa sasa ni non- tactical na misguided! The same kama ilivyokuwa kwa Hamas siku za mwisho.Hizbollah hawajaisha usijidanganye.
Inasemekana jana wamefanya shambulizi Israel.
Huwezi kuwamaliza Hizbollah kama unavyodhani.
Iran ndio nearly impossible kabisa maana ni potential ally wa Russia kwasasa.