Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Kweli watanzania tushalishwa unga wa ndele ndio maana tunadanganywa mchana kweupe bila hata aibu.Lakin Katibu Mkuu kila siku kwenye taarifa za habari anakwambia hakuna wagonjwa waliojaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli watanzania tushalishwa unga wa ndele ndio maana tunadanganywa mchana kweupe bila hata aibu.Lakin Katibu Mkuu kila siku kwenye taarifa za habari anakwambia hakuna wagonjwa waliojaaa.
kipara kipyaKuna mjinga mmoja jana alisema kuna ongezeko la watu kutangaza vifo vya marehemu bila kuwashirikisha ndugu na kutaja sababu za vifo
Kuna kitu unatakiwa kujua ambacho wengi hawajui. Corona inategeme sana namna ilivyokujia. Hata kama huna tatizo la kisukari au high BP, ikikupata, ukaanza kukosa pumzi, inapandisha BP na inakuletea kisukari hata kama hukuwa nacho.Covid haina huruma kabisa.
Kwa sasa huenda ndio ugonjwa unaoongoza kuua watanzania wa umri mkubwa.
Kama wewe ni mtanzania mwenye umri zaidi ya miaka 60, na una historia ya ugonjwa wa kisukari, Presha, Moyo au mafuta kuzidi mwilini, Covid inakusaka ulipo!
Usimsikilize yule bwege, akili kuna mahali alikoziweka. Anatembea kichwani na kopo tupu.Lakin Katibu Mkuu kila siku kwenye taarifa za habari anakwambia hakuna wagonjwa waliojaaa.
Si atugawie hiyo chanjo....Kiranja Mkuu nasikia kachanjwa kinyemela ndio maana ana jeuri Sana.
Covid haina huruma kabisa.
Kwa sasa huenda ndio ugonjwa unaoongoza kuua watanzania wa umri mkubwa.
Kama wewe ni mtanzania mwenye umri zaidi ya miaka 60, na una historia ya ugonjwa wa kisukari, Presha, Moyo au mafuta kuzidi mwilini, Covid inakusaka ulipo!
Huyo mzee kafa kwa corona?Hii Taarifa ya vitanda kujaa ni karibu hospitali zote makini kwa sasa , hii maana yake ni kwamba wagonjwa wamekuwa wengi mno kwa sasa !
Ndio , hii ni kwa mujibu wa familia yakeHuyo mzee kafa kwa corona?
Wanaoficha maradhi ni ccm tuNilifikiri huu ugonjwa unachagua wana chadema
Pale General hospital hali ikoje? Mungu atunusuruKwa Dodoma, Benjamin Mkapa hospital wala hii sio habari kila mtu anafahamu.
Achana naye huyo ana akili za konda wa daladala. Bus hata siku moja halijai. Kinachojaa ni chupa. Regency imejaa. Wanaelekeza Mloganzila na si Aga Khan. Huko nako wangeambiwa hivyo. Changamoto ya upumuaji haitoi bonus kwa aliyeelekeza mgonjwa. Wenye hospitali ulikoelekeza mgonjwa mwenye hiyo changamoto watakununia vibaya sana. Huyo ni wa Vingunguti tu.Lakin Katibu Mkuu kila siku kwenye taarifa za habari anakwambia hakuna wagonjwa waliojaaa.
Ni muongo, simply and clearly!Lakin Katibu Mkuu kila siku kwenye taarifa za habari anakwambia hakuna wagonjwa waliojaaa.
Pale sijaenda mkuu.Pale General hospital hali ikoje? Mungu atunusuru
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Eeenh!Usiwe na wasi wasi.
Wosia zipo mahali pake.
RIP Arcado Ntagazwa.
Zamani nilidhani kuwa una akili kidogo kichwani, hasa kutokana na elimu unayodai unayo.Hawajawa wazi. Hakuna ugonjwa unaoitwa changamoto ya kupumua. Magonjwa yote kwenye hatua zake za mwisho upumuaji huwa wa shida na hatimaye husimama kabisa - ukisimama ndipo tunasema mgonjwa kaaga dunia.
Hivyo hawajawa wazi. Hawajasema aliugua corona kwa mjibu wa vipimo.
Tanzania hakuna covid msiwe waoga kiivyio. Mh rais ametuhakikishia mara nyingi na Katibu Mkuu afya amekazia sana kuwa hali ni shwariAcha kupenda kutisha watu badala ya kuwaelimisha. Nani kakuambia ya kwamba kila mwenye magonjwa hayo uliyoyataja basi yeye lazima uviko-19 imsake aliko. Ina maana sasa akijitenga lazima imfuate alipo. Hiyo si sawa. Toa elimu kwa watu, ukiwajengea hofu unakuwa hujawasaidia, kwa maana hofu pia ni ugonjwa. Inaua pia.
Hata vijana kama unamagojwa hayo jitenge kwa SASACovid haina huruma kabisa.