Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuwa bondia maarufu Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo maeneo ya kimara. Chanzo bado hakijafahamika. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina
Source: Radio Free Africa
Kinachotushangaza ni aina ya kifo kilichomkuta kapigwa kwa kosa lipi hasa ngoja tuendelee kusikiliza redio zetu tutapata majibu ya maswali yetu,sijui kawakosea nini wananchi wenye hasira kali
Watu waliwaponda sana watu wa dar sasa ndo matokeo yake hayo......kuna mambo si ya kuropoka tu kabla ya kufikiria...ila nasikia jamaa alikuwa anapenda ubabe.....km wananchi wamefanya mauaji hayo kweli wachukuliwe hatua.Kinachotushangaza ni aina ya kifo kilichomkuta kapigwa kwa kosa lipi hasa ngoja tuendelee kusikiliza redio zetu tutapata majibu ya maswali yetu,sijui kawakosea nini wananchi wenye hasira kali
Ila itakuwa kawakosea wananchi hawezi kupigwa bila sababu ngoja tusikilizie tutaelewa tuu chanzo cha kifo chake ni nin hasaWatu waliwaponda sana watu wa dar sasa ndo matokeo yake hayo......kuna mambo si ya kuropoka tu kabla ya kufikiria...ila nasikia jamaa alikuwa anapenda ubabe.....km wananchi wamefanya mauaji hayo kweli wachukuliwe hatua.
Basi huenda ni kweli, ngoja tuoneJamaa alikuwa mbabe sana, ana vikundi vyake vya watoto vinavyojihusisha na uporaji.
Watu hawapendi ujingaMpigaji kapigwa