Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.

Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.

Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.

Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.

I think he is spot on!

View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr
 
Nia na malengo yalikuwa mazuri, matokeo yakawa kinyume na malengo...

Niliwahi kutazama makala moja ikielezea sababu zilizoifanya Tanganyika na sasa Tanzania kuporomoka kiuchumi na kuwa taifa hohehae, moja ya sababu zilizotajwa ni pamoja na siasa za kujitegemea na ujamaa
 
Kuna uchambuzi nilisikia nchi zilizopitia ujamaa ndio zinaendekeza ujinga na uditekta sana.Na zimeweka serikali usalama,ulinzi na jeshi kwenye chama.

Si rahisi kwa afrika kufanya leo kama sudani,somalia,congo na nchi ambazo kila kukicha japo ingekuwa waasisi wao waliona mengi au kukosa mengi sio ujamaa huu ambao tanzania.
Mpaka uzinduzi wa tuzo za wachekashaji raisi kuwepo wakati kuna watu wanatakiwa mfano elon mask watanzania na mabilionear kuwa karibu na raisi kujua shida za nchi na ajira.
 
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.

Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.

Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.

Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.

I think he is spot on!

View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr

Ujamaa wa Nyerere ilikuwa ni KABURI la Uchumi wa Tanzania. Uchumi wa Tanzania ulikufa na kuzikwa rasmi kwa kupitia Sera na Itikadi mbaya sana za Ujamaa. Azimio la Arusha ndiyo ilihitimisha Safari na Uhai wa Uchumi wa nchi hii ya Tanzania.

Takribani 60% ya Umaskini na Ufukara uliotopea hapa Tanzania umesababishwa na Siasa za Kikomunisti/Ujamaa za Mwl. J.K. Nyerere. Mwalimu aliiga Siasa mbaya sana za Kikomunisti kutoka kwa Marafiki zake wakubwa waliokuwepo enzi hizo kutoka nchini Urusi, China, Cuba, na Korea ya Kaskazini.

Mbaya zaidi Sana, Mwl. Nyerere alifuata na kuiga Itikadi na Falsafa Mbaya zaidi za Siasa za Kikomunisti, Itikadi ya Juche.
Itikadi za Juche ni falsafa kali zaidi za misimamo mikali ya Siasa za Kikomunisti/Ujamaa.

Siasa za Azimio la Arusha kuhusu Ujamaa na Kujitegemea ni Misingi ya Itikadi kali sana ya JUCHE, Yaani Jaju, Jurip and Jiraw.
 
Faida za ujamaa kukosa akili
IMG_0697.jpeg
 
Nia na malengo yalikuwa mazuri, matokeo yakawa kinyume na malengo...

Niliwahi kutazama makala moja ikielezea sababu zilizoifanya Tanganyika na sasa Tanzania kuporomoka kiuchumi na kuwa taifa hohehae, moja ya sababu zilizotajwa ni pamoja na siasa za kujitegemea na ujamaa
Sahihi..
 
Nimezaliwa wakati President Mkapa ni Raisi, hivyo siwezi nikasema nina jua yaliyojiri wakati wa Urais wa Nyerere.

But, kutoka hadithi za Babu na Babaangu, na kutoka vitabuni n.k. Nyerere was the Greatest, still the greatest amongst African and World leaders alike Today.

His intellect and vision were unmatched then and still unmatched Today.

Hata hivyo sihitaji mzungu aje kuniambia mazuri au mabaya yake.

Ushahidi upo wazi leo hii.

Watanzania wanajitambua.
 
It was indeed the economic policy of socialism which killed Nyerere reputation to western, and they made him look bad and chosen Kenya, which infact adopted Capitalism from its inception.

Kosa la Nyerere nadhan ni kutumia resources za Tanzania kujaribu kutengeneza superiority ya Tanzania kwa nchi nyingi za SADC ambazo bado zilikuwa kwenye independence struggle...

He failed economically to the western view point, lakini alifanikiwa kutengeneza Reputation ya Tanzania na Watanzania kwa mataifa mengi Africa, offcourse with costs.

Tanzania trusted ally now wapo SADC wengi kuliko EAC.. because of him.

Nafikiri aliamini akiondoka Economics zinaweza tengenezwa na his Successors. and Mkapa Proved somehow , JPM too.

Issues za Kilimo na Railyway we are doing somewhat good compared to our counterparts... Now we are leading in Africa Maize Production... According to data.

Almost 30 p ya GDP ya TZ sasa ni kilimo, up from less than 20% back then...

Generally Nyerere wasn't that bad, but as personal weaknesses hakuwa anapenda wajuaji, kwakuwa alijua gharama ya kuzungukwa na wajuaji kama kina Kambona...😂

Thanks.
 
Back
Top Bottom