Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Matokeo mabaya ni yapi?Ni kweli, Ujamaa wa Nyerere ulikuwa na matokeo mabaya sana kwa Tanzania japo lengo lilikuwa zuri. Hata hivyo umekuwa na faida pia katika suala la umiliki ardhi.
Malengo yalikuwa yapi, na matokeo ni yapi?Nia na malengo yalikuwa mazuri, matokeo yakawa kinyume na malengo
Labda azimio la ArushaMatokeo mabaya ni yapi?
Hata kuwafunga wapinzani/ wakosoaji, kuondoa demokrasia, nayo malengo yake yalikuwa mazuri?Nia na malengo yalikuwa mazuri, matokeo yakawa kinyume na malengo
Ubaya wake upi?Labda azimio la Arusha
Kuna uchambuzi nilisikia nchi zilizopitia ujamaa ndio zinaendekeza ujinga na uditekta sana.Na zimeweka serikali usalama,ulinzi na jeshi kwenye chama.Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.
Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.
I think he is spot on!
View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr
Kufa kwa sekta binafsi, utegemezi wa raia kwa serikali kuu kwa karibia kila kitu, siasa za mfumo wa chama kimoja kisichowajibika ipasavyo kuleta maendeleo.Matokeo mabaya ni yapi?
Ujamaa wa Nyerere ilikuwa ni KABURI la Uchumi wa Tanzania. Uchumi wa Tanzania ulikufa na kuzikwa rasmi kwa kupitia Sera na Itikadi mbaya sana za Ujamaa. Azimio la Arusha ndiyo ilihitimisha Safari na Uhai wa Uchumi wa nchi hii ya Tanzania.Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.
Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.
I think he is spot on!
View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr
Lilitushinda tukawarudishia Wenyewe Wahindi na MakanisaUbaya wake upi?
Sahihi..Nia na malengo yalikuwa mazuri, matokeo yakawa kinyume na malengo...
Niliwahi kutazama makala moja ikielezea sababu zilizoifanya Tanganyika na sasa Tanzania kuporomoka kiuchumi na kuwa taifa hohehae, moja ya sababu zilizotajwa ni pamoja na siasa za kujitegemea na ujamaa