Thomas Tuchel hana uwezo wa kuing'arisha Chelsea, tafuteni kocha mwenye uwezo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.

Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.

Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
 
Wewe mpira huujui
 
Tuchel Ni kocha mzuri anayeweza kuimprove standard ya mchezaji mmoja mmoja yeye ndiye aliyemfanya Pulisic ashine na Aina ya wachezaji waliyopo Chelsea ndio Aina ya wachezaji anaowataka
Hawezi kutengeneza team spirit , hana uwezo wa kubadili fomesheni ndani ya uwanja , he has no quick mind as Benitez .
 
Mkuu tuchel sio tactician?
Aseeh katika makocha wenye tecnic tamu mnoo tuchel ni mmojawapo.

Hata akifungwa unaona kabisa kuna kitu anajaribu Ku invert
Ni muumini mzuri wa 4- 3- 3..
Na anaipatia kweli.
Angalia ile mechi na Bayern final
Aliweka tecnic tamu sana ila yakina neymar na mbape yakafanya upuuzi.

Nakupinga
 
na hao ndio waliombeba PSG
 
Jamaa amjui Thomas Tuchel vizuri
 
Mkuu mbona umezungumza kana kwamba Abrahimovich yupo humu[emoji16][emoji16]
 
Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.

Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.

Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Kama ulivyojinasibu kumfuatilia Tuchel, nilitegemea ungeeleza kuwa ni mtu mmoja mtata sana ktk mahusiano na viongozi wake.
Huu ndio udhaifu wake mkubwa.
 
Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.

Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.

Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Mkuu utabir wako kwenye mpira upo konki Sana accuracy ya tabiri zako huwa 90% , huwa unafeli kwenye siasa Tu 😃 wanaokupinga soon watadhalilika vibaya mno....Chelsea ni timu ngumu mno Kwa makocha wengi....hasa hao walaini laini ambao kila akitaka mchezaji Fulani analetewa
 
Back
Top Bottom