Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Kumbe ndio maana simba sc walimkataa. Nasikia eti na yy alituma cv yakePamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.