Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
We Nabii Tito bado unaendelea na unabii uchwara au umekoma na hutarudia tena?Sawa mkuu , kocha wa Chelsea atapigwa fainali zote mbili , alaf disaster itaanza msimu ujao na kabla ya mwez wa 12 atakuwa ametimuliwa kazi .....!!!