Thomas Tuchel hana uwezo wa kuing'arisha Chelsea, tafuteni kocha mwenye uwezo

Thomas Tuchel hana uwezo wa kuing'arisha Chelsea, tafuteni kocha mwenye uwezo

Apa nakubaliana na wewe tuchel ni kocha wa kawaid Sion kama ni mtu sahihi
Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.

Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.

Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
We are UCL Champions 2021

Huu ndio udhaifu wa Tuchel
 
Huu Uzi ufutwe mtu unatuongopea mchana kweupe[emoji3]
IMG-20210530-WA0035.jpg
 
Ni vyema sana, Siasa ikatengwa na michezo in all aspects yaani hadi kwenye uchambuzi.
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa Bahatisha Ndulute unakijua , Avram Grant alifika hadi fainali kama hii .
Kwenye soka hua hakuna kubahatisha,hakuna kitu Bahati,hiyo ni imani ya kujifariji tu,team ikifungwa jua kua kuna sehemu inakosea na imezidiwa mbinu na team pinzani,ushindi huja kwa juhudi,maarifa na kujitoa,achana na imani za kusema Bahatisha.
 
Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.

Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.

Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Mungu ibariki JF
 
Mkuu utabir wako kwenye mpira upo konki Sana accuracy ya tabiri zako huwa 90% , huwa unafeli kwenye siasa Tu [emoji2] wanaokupinga soon watadhalilika vibaya mno....Chelsea ni timu ngumu mno Kwa makocha wengi....hasa hao walaini laini ambao kila akitaka mchezaji Fulani analetewa
Ulisema[emoji23]
 
wewe ulitaka atumie wachezaji gani, wa arteta?

asee sijawahi kuona mtu anaongea utumbo kama wewe kwenye hili jukwaa la michezo, yaani kocha kaikuta timu ipo out of big 4, amewafunga makocha wazoefu kama Diego simeone, Zizou, kamtoa Guardiola F. A useme anatembelea nyota!?
Hahahahaha [emoji23]
 
Back
Top Bottom