Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe mpira huujuiPamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Hawezi kutengeneza team spirit , hana uwezo wa kubadili fomesheni ndani ya uwanja , he has no quick mind as Benitez .Tuchel Ni kocha mzuri anayeweza kuimprove standard ya mchezaji mmoja mmoja yeye ndiye aliyemfanya Pulisic ashine na Aina ya wachezaji waliyopo Chelsea ndio Aina ya wachezaji anaowataka
muda utakudhalilishaWewe mpira huujui
na hao ndio waliombeba PSGMkuu tuchel sio tactician?
Aseeh katika makocha wenye tecnic tamu mnoo tuchel ni mmojawapo.
Hata akifungwa unaona kabisa kuna kitu anajaribu Ku invert
Ni muumini mzuri wa 4- 3- 3..
Na anaipatia kweli.
Angalia ile mechi na Bayern final
Aliweka tecnic tamu sana ila yakina neymar na mbape yakafanya upuuzi.
Nakupinga
Uliangalia game ya PSG na Bayern fainal ya uefa?ndio ungejua ubora wa huyu kochaHawezi kutengeneza team spirit , hana uwezo wa kubadili fomesheni ndani ya uwanja , he has no quick mind as Benitez .
Jamaa amjui Thomas Tuchel vizuriMkuu tuchel sio tactician?
Aseeh katika makocha wenye tecnic tamu mnoo tuchel ni mmojawapo.
Hata akifungwa unaona kabisa kuna kitu anajaribu Ku invert
Ni muumini mzuri wa 4- 3- 3..
Na anaipatia kweli.
Angalia ile mechi na Bayern final
Aliweka tecnic tamu sana ila yakina neymar na mbape yakafanya upuuzi.
Nakupinga
mkuu game 1 haiwezi kumwinua kocha yoyoteUliangalia game ya PSG na Bayern fainal ya uefa?ndio ungejua ubora wa huyu kocha
Au una wivu nae kwasababu aliwafunga nyumbu fc?mkuu game 1 haiwezi kumwinua kocha yoyote
JF iko kila mahaliMkuu mbona umezungumza kana kwamba Abrahimovich yupo humu[emoji16][emoji16]
Kama ulivyojinasibu kumfuatilia Tuchel, nilitegemea ungeeleza kuwa ni mtu mmoja mtata sana ktk mahusiano na viongozi wake.Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Mkuu utabir wako kwenye mpira upo konki Sana accuracy ya tabiri zako huwa 90% , huwa unafeli kwenye siasa Tu 😃 wanaokupinga soon watadhalilika vibaya mno....Chelsea ni timu ngumu mno Kwa makocha wengi....hasa hao walaini laini ambao kila akitaka mchezaji Fulani analetewaPamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.