Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Kumbe ndio maana simba sc walimkataa. Nasikia eti na yy alituma cv yakePamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Hata kwenye siasa kinachonifelisha ni tume ya uchaguziMkuu utabir wako kwenye mpira upo konki Sana accuracy ya tabiri zako huwa 90% , huwa unafeli kwenye siasa Tu π wanaokupinga soon watadhalilika vibaya mno....Chelsea ni timu ngumu mno Kwa makocha wengi....hasa hao walaini laini ambao kila akitaka mchezaji Fulani analetewa
eti sio tactician π aisee ....umetisha zaidi Kwa kusema kuwa atafukuzwa mapema zaidi ya muda aliokaa lampard huu utabiri wako uchwara TuPamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Ni mapema sana mkuueti sio tactician π aisee ....umetisha zaidi Kwa kusema kuwa atafukuzwa mapema zaidi ya muda aliokaa lampard huu utabiri wako uchwara Tu
Yeye ndo alikuwa available Kwa haraka Kwa muda huo mpk lamps anafukuzwa na isitoshe bado alikuwa ana umoto wa kufundisha....na kama umefuatilia vzuri toka alivyokuwepo psg na Dortmund jambo lililomfukuzisha ni kubust out na uongozi wa hizo timu ..lkn suala la performance Mbona kafanya vzuri Kwa kiasi chake toka alipokuwa Mainz( aliifanya timu kuwa regular Sana kwenye spots za Europa League n hata kocha aliyekuwepo kabla hapo Mainz KLOP hakuweza kufanya hvyo) , Dortmund alipambana Sana akachukua dfb pokal km unavyojua bundesliga kule Bayern katawala Sana....psg kachukua makombe ya kule pia ....na last tym aliifikisha final ya uefa ...pep hakuweza alivyokuwa na Bayern na pia bado anastruggle na hii city ya kina kdb na kina sterling kuingia hata final ya uefa ( last tym kuingia final uefa ndo Ile 2011)....give the man some respect au kisa kufungwa na ole na NYUMBU yake kama mara 2 kwenye uefa ndo mnaona Hana uwezo? The guy atatupeleka top 4.na pengine hata no.2 PERIODtuchel toka akiwa dortmund na pia psg sikuelew walitumia kigez kip kumpa huy jamaa ajira
Tumpe mda,ana kila dalili ya kuchukua kombe klabu bingwa UlayaPamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
Una Msimamo uleule Mkuu. Jana kaiwezisha Chelsea kutinga Fainalimuda utakudhalilisha
Bado namwangalia , huenda anatembelea nyota ya Lampard , ngoja kidogoUna
Una Msimamo uleule Mkuu. Jana kaiwezisha Chelsea kutinga Fainali
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]lampard ndiyo garasa kabisaBado namwangalia , huenda anatembelea nyota ya Lampard , ngoja kidogo
ninamaanisha wachezaji wanaotumika ni walewale wa Lampard[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]lampard ndiyo garasa kabisa
Nyota ya Lampard?!Bado namwangalia , huenda anatembelea nyota ya Lampard , ngoja kidogo
wewe ulitaka atumie wachezaji gani, wa arteta?ninamaanisha wachezaji wanaotumika ni walewale wa Lampard
Sawa mkuuBado namwangalia , huenda anatembelea nyota ya Lampard , ngoja kidogo
πππππPamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili mchezo ndani ya dimba.
Nimemfuatilia tangu Borussia Dortmund hadi PSG, nguzo yake kuu ni aina fulani ya wachezaji, wachezaji ambao hawapo Chelsea.
Namtabiria kutimuliwa mapema kuliko hata Lampard.
πππππMkuu utabir wako kwenye mpira upo konki Sana accuracy ya tabiri zako huwa 90% , huwa unafeli kwenye siasa Tu π wanaokupinga soon watadhalilika vibaya mno....Chelsea ni timu ngumu mno Kwa makocha wengi....hasa hao walaini laini ambao kila akitaka mchezaji Fulani analetewa
ππππNyota ya Lampard?!
we ukashabikie rede tu au mbio za langalanga maana mpira umekusihinda mkuu
Umeanza kuhamisha magoli? Nyota ya Lampard ipi hiyo? Yakufungwa hovyo?Bado namwangalia , huenda anatembelea nyota ya Lampard , ngoja kidogo
πUmeanza kuhamisha magoli? Nyota ya Lampard ipi hiyo? Yakufungwa hovyo?
Unataka umfuatilie mpaka wapi wakati kisha ingia Final ya UCL?
Au unasubiri adrop kisha uje utetee hoja yako? Kudrop kwa makocha ni jambo la kawaida muangalie Klop na Jose Mourinho.