Thomas Tuchel hana uwezo wa kuing'arisha Chelsea, tafuteni kocha mwenye uwezo

Kachambue mchele tu achana na Mpira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa anateseka akiwa wapi maono yake anaona kama ni kweli kumbe falaa tuu . Mbona mashabiki wa man u huwa mna wivu sana.

Mmeona tabu kumpa city ushindi mmeanza kuleta uchawi humu mnataka kila kitu muwe nyie tuuu.
 
huu uzi umejaa majungu Sana ya watu wasiojua mpira yaani bichwa limejaa makamasi tupu
Mpaka sasa Tuchel amenipigia wafuatao

•Diego simeone

• morinho

• Klop

•Guardiola

• Benitez

• Bekham
 
Huyu jamaa anateseka akiwa wapi maono yake anaona kama ni kweli kumbe falaa tuu . Mbona mashabiki wa man u huwa mna wivu sana.

Mmeona tabu kumpa city ushindi mmeanza kuleta uchawi humu mnataka kila kitu muwe nyie tuuu.
Hao ndo wale wasioweka akiba ya maneno.

Mashabiki wa kukariri, bila kujua siku ya jana si ya leo.
 
😂😂😂😂
 
Una la kusema sasa?
 
Makamanda wengine bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…